Ujambazi wa kuvamia nyumba washika kasi Arusha.

Pamoja na kuwa bastola ni silaha nzuri ya kujilinda, ulinzi mzuri wa nyumba hasa dhidi ya majambazi wengi ni shotgun. Bunduki hii inatoa risasi nyingi mithili ya gololi ambazo husambaa na kupiga watu wengi kwa mara moja. Hata hivyo haishauriwi uilenge kwa minajili ya kumuokoa mtu wako aliyekamatwa na jambazi maana kuna uwezekano wa kuwajeruhi wote.


View attachment 71638

View attachment 71637

Kumbeeee.. ndio maana mshua alikomaa kulimiliki...
 
Mimi naona hao majamaa walitumia trick yakusema hivyo hili wamtishe wakijua kwamba huenda alikua amejipanga.
 
huyo jamaa ni **** kweli yaani ana silaha ya ukweli hivyo halafu anawakimbia hakuna jambazi jasiri angemtwanga mmoja tu wangetafutana..
 
huyo jamaa ni **** kweli yaani ana silaha ya ukweli hivyo halafu anawakimbia hakuna jambazi jasiri angemtwanga mmoja tu wangetafutana..
sasa jamaa bastola ya nn, kama watu wakiingia tu home anakimbia na kumwacha mke na watoto?

alafu utashangaa majambazi walikuwa na nondo alafu yy anakimbilia kwenye paa!!!!

mi namshauri bastola arudishe tu polis, coz siku wakimtait watamtwanga nayo, coz watamshamgaa hawezi kutumia kifaa cha kazi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom