UJambazi Banki ya Biashara ya Africa (CBA) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UJambazi Banki ya Biashara ya Africa (CBA)

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ufipa-Kinondoni, Sep 6, 2012.

 1. Ufipa-Kinondoni

  Ufipa-Kinondoni JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 4,475
  Likes Received: 2,143
  Trophy Points: 280
  Muda mfupi uliopita katika redio Wapo nimesikia ujambazi uliotokea "Commercial Bank of Africa" tawi la Nyerere RD-Jamana House. Majambazi 6 yalitumia vitambulisho vya benki hiyo na kutumia muda wa saa 2-3 na kufanikiwa kuchukuwa mamilioni ya fedha za Ki-Tz bila kutumia silaha. Kamanda Kova akihojiwa amesema wamewakamata watumishi 2 na mlinzi 1 wa Security Grp. Pia ameeleza kuanza kwa upelelezi mkali kwa kutumia Ma-CID kutoka Makao Makuu na Kanda Maalum.

  Hakuna madhara mengine ambayo yamesababishwa na uvamizi wa majambazi hayo.

  Mwenye taarifa zaidi wadau kwa hapo Dar...
   
 2. Elijah

  Elijah JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 1,671
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ujinga tu,taarifa zimerushwa redioni wakati majambazi wapo ndani,hakuna hatua zozote zilizochukuliwa kwa wakati,
   
 3. m

  mjasiria JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,790
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Hao sio majambazi, bali ni wasanii wa levo nyingine. Ambao ofcoz huko mtaani watamwagiwa sifa kibao kuwa wao ni wajanja.
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,152
  Trophy Points: 280
  Kova hana aibu.
  Sioni alifanyalo, bora ajiuzulu tu
   
Loading...