Ujamaa vs Ubepari. Kibao chageuka!

Ujamaa vs Ubepari. Kibao chageuka!

JustDoItNow

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,967
Reaction score
1,513
Hapo mwanzoni, nchi zilizokuwa na sera za ujamaa zilionekana kuwa masikini na kutokuwa na technologia ya kutosha na na nguvu za kijeshi. Lakini sasa hivi nchi waanzilishi wa ujamaa wamekuwa na uchumi mzuri na nguvu za kijeshi mfano China, Russia, Cuba na North korea. Siyo watu wa kuomba omba msaada, day after day wanaiimalisha kwenye uchumi na jeshi, pamoja na muungano wa nchi za kibepari za ulaya na marekani, lakini bado wanahitaji msaada mkubwa kutoka china, na russia.
 
Huo unaouona China na Russia sio Ujamaa as you know it..., Anyway hakuna nchi inayoendesha mambo yake katika 100% Ubepari au 100% Ujamaa (labda kwenye vitabu tu) Nchi nyingi zinaendesha mambo yao katika mchanganyiko wa mifumo kutokana na sehemu husika na mahitaji husika. By the way hivi sisi ni wajama au ?
 
Huo unaouona China na Russia sio Ujamaa as you know it..., Anyway hakuna nchi inayoendesha mambo yake katika 100% Ubepari au 100% Ujamaa (labda kwenye vitabu tu) Nchi nyingi zinaendesha mambo yao katika mchanganyiko wa mifumo kutokana na sehemu husika na mahitaji husika. By the way hivi sisi ni wajama au ?
kwa sasa hatuna dira labda katiba mpya itatupa dira.
 
Ujamaa (socialism/comminist system) and Ubepari (capitalism ) are all foreign concepts to Africa. Kabla Wakoloni walete ujamaa na Ubepari Africa, Africa kulikuwa na Ubuntu. Siku hizi watu wengi wanachanganisha maana ya Ubuntu na utu yani humanity, au undugu yani brotherhood, au kusaidia maskini yani charity.

Ubuntu ilikuwa ni watu kutegemeana kati yao bila kutegemea serikali(ujamaa) au kutegemea ubepari (corporations).

Ubuntu ulisha kwasababu serikali na wabepari hawakutaka watu wajitegemee ila wawategemee wao.

Ingawa vita vya serikali(ujamaa) na ubepari(corporations) havitaisha hivi karibuni, bado hivi sasa watu wanaweza kuungana na kutafuta wanavyoweza kujitegemea kati yao wenyewe isipokuwa wakati wanapohitaji kabisa serikali na corporations.

Wabepari wanapaswa kutozwa kodi na kuchunguzwa kwa mienendo yao ili wasiwe kama "too big to fail" kama kule Marekani. Monopolies au ologolies sio soko huru. Kuna zile sekta za uchumi ambazo serikali lazima ijihusishe nazo,zile sekta ambazo sio huru kama kusambaza umeme na mafuta ya gesi. Kusambaza umeme haina mbadala/mshindani wake wa kushindana naye. Mafuta nayo lazima bei iwekwe na serikali kwasababu OPEC ni cartel.
 
China na Russia zilikuwa incorporated into the capitalist world baada ya vita vya pili vya dunia......wakasaidiwa kuacha mifumo ya ujamaa na kukumbatia free trade na capital markets like in EU...ndio maana wakapiga hatua....bila hiyo hawangekuwa walipo......hata Tanzania...kwa hivyo tuseme ukweli....North Korea inasimamishwa na China ambayo imenufaika kwa ku-implement US Capitalistic reforms na za WB......Ahsante!
 
Back
Top Bottom