Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,176
- 48,460
Washia wako sahihi sanaMsikize Sheikh wetu mpendwa wa madhehebu tukufu ya Shia ndugu Hemed Jalala Mwakindenge.
View attachment 3568797
View attachment 3568797
Kinyungu
adriz de mbusii
Ninachowapendea washia wenyewe wanasema Uislamu upo kwenye Quran na siyo kwenye hadithi.Washia wako sahihi sana
Malaria 2 unasemajeKwa muda mrefu sana haikumbukiki ilianza lini, ilizoeleka kuwa aina fulani ya nguo au uvaaji kuwa ndiyo alama ya Uislamu.
Kuvaa matarabushi, misuli, barghashia, kanzu, sandali, baibui na Abaya ilihesabiwa kama ndiyo alama za uislamu.
Lakini siku za hivi karibuni wameibuka wahadhiri mbali mbali wanasema kuwa hakuna "sare" ya Uislamu iliyoamrishwa kwenye Quran bali watu wanachanganya kati ya Mila za uvaaji za kiarabu na uislamu.
Hebu msikilize huyu mhadhiri wa kiislamu hapo chini.
View attachment 3568789
Hujui lolote kuhusu Uislamu wala Ushia.Washia hawasemi waislamu waongozwe kwa Quran tu.Wanaamini hadithi za Mtume Muhammad(SAW).Wanajiita Aluh Bayt watu wa nyumba ya Mtume Muhammad (SAW).Ninachowapendea washia wenyewe wanasema Uislamu upo kwenye Quran na siyo kwenye hadithi.
Washia wanasema waislamu waongozwe na Quran na kila muislamu aisome na kuitafsiri Quran bila kuingiza mambo ya Hadithi.
Ni kweli siwezi kujua mengi kuhusu Uislam lakini akili yangu Ina uwezo wa kutofautisha mantiki mbalimbali.Hujui lolote kuhusu Uislamu wala Ushia...
Wenyewe wanasema hizo Hadithi hazina uhalali.Huwezi kuwa muislamu bila kuamini na kufuata hadithi kwani ndio zinatumika kufafanua Quran kwenye masuala ya ibada kwa mfano Kuswali.
Wenyewe ni kina nani?Hadithi za Mtume kwa Waislamu ni wahyi.Hivyo hakuna muislamu muumin anayeweza kusema hazina uhalali.Akisema haziamini basi huyo sio muislamu.Ni kweli siwezi kujua mengi kuhusu Uislam lakini akili yangu Ina uwezo wa kutofautisha mantiki mbalimbali.
Wenyewe wanasema hizo Hadithi hazina uhalali.
Aisee! Hapa si tunawazungumzia washia. Sasa hili swali linakujajje tena?Wenyewe ni kina nani?
Hii ya kusema Hadithi ni wahyi wewe umeitoa wapi tena.. unataka kusema Hadithi nazo ziliteremshwa kama ilivyoteremshwa Quran?Hadithi za Mtume kwa Waislamu ni wahyi.
Ni kweli kabisa...Kwa muda mrefu sana haikumbukiki ilianza lini, ilizoeleka kuwa aina fulani ya nguo au uvaaji kuwa ndiyo alama ya Uislamu.
Kuvaa matarabushi, misuli, barghashia, kanzu, sandali, baibui na Abaya ilihesabiwa kama ndiyo alama za uislamu.
Lakini siku za hivi karibuni wameibuka wahadhiri mbali mbali wanasema kuwa hakuna "sare" ya Uislamu iliyoamrishwa kwenye Quran bali watu wanachanganya kati ya Mila za uvaaji za kiarabu na uislamu.
Hebu msikilize huyu mhadhiri wa kiislamu hapo chini.
View attachment 3568789
Ndio sababu nilikuambia hujui chochote kuhusu Uislamu.Fanya utafiti kwanza ujue Wahyi ni ujumbe wa aina gani?Baada ya hapo ndio utaweza kuzungumzia Uislamu.Aisee! Hapa si tunawazungumzia washia. Sasa hili swali linakujajje tena?
Hii ya kusema Hadithi ni wahyi wewe umeitoa wapi tena.. unataka kusema Hadithi nazo ziliteremshwa kama ilivyoteremshwa Quran?