Uislamu ndo dini ya hakiAsalam alaykum!
Nilisilimu lakini baadhi ya members humu wakawa wanapinga na kusema mimi sio muislam bali ni mnafiq.
Sasa Leo nataka kujua kutoka kwa wajuvi wa dini ya kiislam definition ya Uislam/Muislam. Huenda ikanisaidia kuwa muislam safi.
Na ikiwezekana wanipe sifa ambazo mtu anapaswa kuwa nazo ili aitwe muislam.
Au muislam ni mtu mwenye sifa zipi.
Ahsante.
dah😁😁😁 unatafuta vita sasa
Okay, so kumbe kabla ya Muhamad hakukuwa na uislam/waislamUislam umesimama katika nguzo tano
1.Shahada
Hapo ushuhudilie kuwa mola ni mmoja tu, na muhammad ndio mjumbe wake kwa ummah huu. Sio kwa maneno tu na matendo pia, ufanye aliyotaka ufanye na uache yale aliyokataza. Humu ndio kwenye kila kitu.
2.sala.
Iko wazi siku ya kiama sala ndio jambo la kwanza kutizamwa atakaekuwa kazikamilisha, basi mengineyo hayatizamwi.
3.zaka
Kutoa zaka kwa mwenye nacho
4.swaumu
Kufunga mwezi wa ramadhani
5.hija
Kwenda hija kwa mwenye uwezo.
Ukiitazama namba moja ndio kila kitu, matendo ya kufanya,jinsi ya kula,kulala,kuoa, kuishi na watu,kusalimiana, kuishi na majirani, mfumo mzima wa maisha unapatikana hapo, kila chinu(kujisemea watu wa kusini) inakuwa katika namba moja.
So muislam ni yule mwenye kutekeleza nguzo za uislam.
SWali zuri, nilijua utauliza hivi, ndio maana ukisoma vizuri, nimesema muhammad ni mtume wa umma huu..Okay, so kumbe kabla ya Muhamad hakukuwa na uislam/waislam
Katika uisilamu, haki lazima itendeke kwa vitendo. Mfano, ukihama dini ya uisilamu kwenda dini nyingine (ukiritadi), ni lazima uuawe popote utakapoonekana, ili kukamilisha hakiUislamu ndo dini ya haki
muislam ni mtu mwenye sifa zipi.
Unaongea vitu usivyo na elimu navyo...ila nafurahi najivunia dini kwakua hafanyiwi mzaha kutokana na uimara wetu sisi mtu kufa ni sawa anapoichezea dini yaani dini kwanza mengine ndio yafate hio imepunguza upuuzi kwenye dini yetuKatika uisilamu, haki lazima itendeke kwa vitendo. Mfano, ukihama dini ya uisilamu kwenda dini nyingine (ukiritadi), ni lazima uuawe popote utakapoonekana, ili kukamilisha haki
Bado na nguzo za imaniUislam umesimama katika nguzo tano
1.Shahada
Hapo ushuhudilie kuwa mola ni mmoja tu, na muhammad ndio mjumbe wake kwa ummah huu. Sio kwa maneno tu na matendo pia, ufanye aliyotaka ufanye na uache yale aliyokataza. Humu ndio kwenye kila kitu.
2.sala.
Iko wazi siku ya kiama sala ndio jambo la kwanza kutizamwa atakaekuwa kazikamilisha, basi mengineyo hayatizamwi.
3.zaka
Kutoa zaka kwa mwenye nacho
4.swaumu
Kufunga mwezi wa ramadhani
5.hija
Kwenda hija kwa mwenye uwezo.
Ukiitazama namba moja ndio kila kitu, matendo ya kufanya,jinsi ya kula,kulala,kuoa, kuishi na watu,kusalimiana, kuishi na majirani, mfumo mzima wa maisha unapatikana hapo, kila chinu(kujisemea watu wa kusini) inakuwa katika namba moja.
So muislam ni yule mwenye kutekeleza nguzo za uislam.
Weka ushahidi wa andiko la kolowani!ACHA maneno yako yasiyo na ushahidiSwa
SWali zuri, nilijua utauliza hivi, ndio maana ukisoma vizuri, nimesema muhammad ni mtume wa umma huu..
Hivyo kipindi cha nuhu watu walikuwa wanashahidilia, kwenye jina la muhhamad anakaa nuhu, sababu ndio mtume wa umma ule, wakati wa ibrahim hivyo hivyo, ni kushuhudulia kuwa mola ndio muabidiwa wa haki na ibrahim/nuhu/musa etc ndio mjumbe wa umah husika.
Kolowani hakuna duniani nenda shule kajifunze kuandika urudi sawa?Weka ushahidi wa andiko la kolowani!ACHA maneno yako yasiyo na ushahidi
Aaaaah!kule umelala mbele baada ya kushindwa kujibu maswali, haya tumia hata Kuran ukishindwa tumia Kolowani ili ulete majibuKolowani hakuna duniani nenda shule kajifunze kuandika urudi sawa?
lazima tukate kichwa unaritadi unaenda wapi hunafaida humu duniani, kama munapokuwa vitani ukiasi unauwa je mbele ya dini ya ALLAH (SW)Katika uisilamu, haki lazima itendeke kwa vitendo. Mfano, ukihama dini ya uisilamu kwenda dini nyingine (ukiritadi), ni lazima uuawe popote utakapoonekana, ili kukamilisha haki