Uingereza yalalamika kuingiliwa uchaguzi na Urusi.!

Uingereza yalalamika kuingiliwa uchaguzi na Urusi.!

Jamaa wanalalamika si mchezo,

sasa bila kutumia hizo mbinu,wangempanda kichwani putin.

Ieleweke Russia ndo nchi tajiri kupita zote kwa rasilimali,mataifa ya magharibi yamekuwa yakiitolea udenda russia na kufanya mbinu zote kuingilia chaguzi zake ili waweke mtu wao,
sasa Putin akawageuzia ubao hawaishi kulalamika,
Russia ilikuwa ni empire zamani mno kabla hata marekani haijakuwepo
Ni kweli urusi inafanya huo udukuzi??
 
Huyu jamaa kajiimarisha Ila naona kama atapita wakati mgumu kama mataifa makubwa yatafukuza mabarozi wake
 
Back
Top Bottom