Uingereza yahalalisha ndoa za jinsia moja

Uingereza yahalalisha ndoa za jinsia moja

Status
Not open for further replies.

Sasa kama hii si laana ni nini?
Maskini watoto malaika hao hawajui hata kitu gani baba na baba wanakifanya wakiwa peke yao!

Ehh Mungu uliye na Nguvu zote!

Waangamize hawa waliberali na wale wanao washabikia! Uwapofue macho!

Mungu tunakuomba uwadhalilishe hapa duniani na kesho akhera kwa kutuletea uchafu wa wale ulio wateremshia ghadhabu zako!

Wa sodoma na gomora!

Wachomoe roho zao barabarani!

Amiin.
 
Sasa kama hii si laana ni nini?
Maskini watoto malaika hao hawajui hata kitu gani baba na baba wanakifanya wakiwa peke yao!

Ehh Mungu uliye na Nguvu zote!

Waangamize hawa waliberali na wale wanao washabikia! Uwapofue macho!

Mungu tunakuomba uwadhalilishe hapa duniani na kesho akhera kwa kutuletea uchafu wa wale ulio wateremshia ghadhabu zako!

Wa sodoma na gomora!

Wachomoe roho zao barabarani!

Amiin.
Homosexuality on the Rise in Saudi Arabia - Yahoo! Voices - voices.yahoo.com


[h=3]Gay Saudi prince pictured happily with the manservant he beat to ...[/h]

 

Wewe mchungwaji!
Hapa kanisa linaangamia !
Halafu wewe unatuletea habari za yahoo!

Huoni tofauti ya hizi habari wewe!?
Au akili zako ziko likizo!

Saudia ukikamatwa unashiriki uliberali WANANYONGA MPAKA KUFA!

Si umeona mwenyewe huyo prince AMEOMBA HIFADHI UINGEREZA ASIJE RUDISHWA SAUDIA!
Hujiulizi ni kwa nini!

Uingereza na Kwa pope (italy) ukioa mwanamme mwenzio! WANAKUPA MAUA NA VIGEREGERE! NA ZAWADI KEDEKEDE!

Sasa kama wewe unalipenda kanisa!

Inatakiwa ulete solution! Vipi hawa wachungaji wanadai kuwa wao ni waliberali na KANISA LINAKUBALI kuwaacha madarakani!? Na kuendelea kuhubiri injili!?!
Kweli wewe muumini wa kikristo unakubali ingia kanisa ambalo kiongozi ni MLIBERALI!?

Halafu eti huyohuyo msodomi anakusamehe madhambi yako!?


Mhhhhhhh!
HATA SNEMA YA KIHINDI HAWAEKTI KAMA NYIE! Duuuuuuh!
Balaa hili!

Hebu tumuulize huyu ghost wako anaejiita nabii MaxShimba ! Atuneneee kiroho!
 
Last edited by a moderator:
Uingereza imehalalisha kisheria ndoa za jinsia moja baada ya mswada uliopitishwa na bunge lao jana kuwa sheria kusainiwa na Malkia leo Jumatano saa tisa na dakika sita mchana kwa saa za Uingereza.

Sheria hiyo inajulikana kama Marriage (Same Sex Couples) Act 2013. Ndoa za jinsia moja zitaanza kufungishwa rasmi kuanzia katikati ya mwaka 2014.

Sheria hiyo mpya inaungwa mkono na viongozi wa vyama vyote vya siasa nchini humo akiwemo Waziri Mkuu wa sasa David Cameron. Cameron alipata upinzani mkali kutoka kwa baadhi ya wabunge wa chama chake cha Conservative.

Hata hivyo, mswada huo ulipitishwa kiulaini kabisa na kuwa sheria baada ya kuungwa mkono na wabunge wengi wa vyama vya Labour na Liberal Democrats.

Sheria hiyo inaruhusu mpaka ndoa za kidini za jinsia moja, lakini hailazimishi madhehebu ya dini kufungisha ndoa hizo ndani ya madhabahu yao. Pia makanisa, misikiti, nk hayatashtakiwa mahakamani kwa kukataa kuwafungisha ndoa watu wanaotaka kufunga ndoa ya kidini.

Church of England ni moja ya makundi ya kidini yaliyopinga ndoa za jinsia moja.
Huyo malkia aliyesaini kuidhinisha hiyo sheria si ndiye mkuu wa hilo kanisa? Anapingana na kanisa analoliongoza?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mambo yameharibika ndugu zangu,nipo ulaya kitambo hawa jamaa wameharibika kabisa wanawake wanazini na mbwa kabisa,na wanapiga sim maredioni kuuliza kama kuna madhara ya kiafya kunyonya kitu ya mbwa na mshauri anasema hakuna tatizo ilimradi mbwa wako awe msafi!!,sipati picha ya mwaka 2100yan huku nenda kumbi za starehe utatamani ujinyonge,midume unabusiana wanawake hivihivo wao kwa wao.
 
Mambo yameharibika ndugu zangu,nipo ulaya kitambo hawa jamaa wameharibika kabisa wanawake wanazini na mbwa kabisa,na wanapiga sim maredioni kuuliza kama kuna madhara ya kiafya kunyonya kitu ya mbwa na mshauri anasema hakuna tatizo ilimradi mbwa wako awe msafi!!,sipati picha ya mwaka 2100yan huku nenda kumbi za starehe utatamani ujinyonge,midume unabusiana wanawake hivihivo wao kwa wao.

Tatizo ni kuwa nchi nyingi za ulaya zinafuata biblia na pia zina promote hizi ndoa na haki za waliberali!
Sasa kama unavyoona mwenyewe,
Viongozi wa makanisa europe wanajitangaza kuwa wao ni WALIBERALI!

Na bado wanaendelea kuwa viongozi wa makanisa!!
Sasa we unafikiri atapona nani hapo!
Na kuna mmoja humu mwenye majina kama 35! Anawa support sana hao! Anajiita kwenye moja ya ids zake MaxShimba !
Sijui na yeye ni ktk wale wale! Hebu tumsubiri atuweke wazi!!

Kwa jiiiiiiiiina la yesu! Nakuita MaxShimba !
Pepo muongo! Uje utudanganye kuhusu hayo hapo juu!
 
Last edited by a moderator:
Hivi kuna dini tena huko kwa wazungu?

Biashara ya Dini imefungwa kabla hata pope john paul hajafa!

Huko ulaya ni ULIBERALI kwenda mbele!
Tena ukiwa na katabia ka kulewa mpaka ukakosa fahamu! Basi kachonge chupi ya bati! Kuna mapadri wabaya huku!!

Kama anakubatiza!.. kumbe anaku......!
Ukija pata fahamu amesha ku..... zamaaani!
 
Dr. kahtaan hayo mambo watayafanya huko huko katika ardhi yao yenye laana!

Katika nchi za kiislam sheria ziko wazi na watu hawafanyi uchafu huo wa kina muchungwaji MaxShimba teh teh teh!
946936_174509369397436_1108246774_n.jpg
 
hmmm,,,,,,,,,,,kazi ipo.............!!!!!!!!!!!!!:help:LORD:help: US PLS
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom