Uingereza yahalalisha ndoa za jinsia moja

Status
Not open for further replies.
kwasababu binadamu alipewa roho yakutamani ili kuyatimiza mapenzi ya alie muumba alikubali kuendeshwa na tamaa hii bila kuwa na kikomo na kipimo,alianza baba yetu Adam na mama yetu Hawa kutamani kuwa kama Mungu,sasa sisi tunatamaniana sisi,wakishachokana kwenye hizo ndoa za njinsia moja wataamiaka kwa wanyama kuomba hakizao za kuzaa na kuolewa/kuoana na wanyama...Binadamu wasasa ni mjinga hata kushinda yule wa olduvai George
 
Good for them.

Kama watu wazima wa jinsia moja wanapendana na wanataka kufunga pingu za maisha, rukhsa. Ni maisha yao.

WE SIO MTANZANIA!

Rudi kwenu KONGO ndio mna mchezo huo!

LAANA YA MUNGU IWAANGUKIE WENYE KUSHABIKIA PIA
 
Uingereza imehalalisha kisheria ndoa za jinsia moja baada ya mswada uliopitishwa na bunge lao jana kuwa sheria kusainiwa na Malkia leo Jumatano saa tisa na dakika sita mchana kwa saa za Uingereza.

Sheria hiyo inajulikana kama Marriage (Same Sex Couples) Act 2013. Ndoa za jinsia moja zitaanza kufungishwa rasmi kuanzia katikati ya mwaka 2014.

Sheria hiyo mpya inaungwa mkono na viongozi wa vyama vyote vya siasa nchini humo akiwemo Waziri Mkuu wa sasa David Cameron. Cameron alipata upinzani mkali kutoka kwa baadhi ya wabunge wa chama chake cha Conservative.

Hata hivyo, mswada huo ulipitishwa kiulaini kabisa na kuwa sheria baada ya kuungwa mkono na wabunge wengi wa vyama vya Labour na Liberal Democrats.

Sheria hiyo inaruhusu mpaka ndoa za kidini za jinsia moja, lakini hailazimishi madhehebu ya dini kufungisha ndoa hizo ndani ya madhabahu yao. Pia makanisa, misikiti, nk hayatashtakiwa mahakamani kwa kukataa kuwafungisha ndoa watu wanaotaka kufunga ndoa ya kidini.

Church of England ni moja ya makundi ya kidini yaliyopinga ndoa za jinsia moja.

Lazima ujue kuwa uingereza kisheria, PRINCE CHARLES NI MLINZI NA MUWAKILISHI WA CHURCH OF ENGLAND!

Na hilo liko ndani ya katiba ya UINGEREZA!

Sasa nashindwa kushangaa wanaposema " church of england wanapinga" na anaesaini hio sheria ni Queen!!

Akikubalicho queen ni lazima KANISA LIFUATE!

Ndio maana tunaona mpaka ma bishops wanajitokeza hadharani na kudai wao ni WALIBERALI!

Kama yule aliyejitangaza juzi juzi tu OXFORD!

Wagalatia inatakiwa wapige kelele saana au la sivyo Kanisa linakwenda pabaya!

lkn pia ukichunguza utaona hawa mabishops wanajikuta wanaingia kwenye hii balaa kwa sababu,
moja ya sheria za kuwa kiongozi wa kanisa ni, KUTOKUWA NA MKE!!

mfano wa haraka ni : papa john paul na huyu papa francis ( hakuna mke wala watoto)

Sasa" when mother nature kicks in" utafanya nini? ile maneno ikichachamaa unafanyaje sasa!?

YAFUATAYO NI MAJIBU KUTOKA KWA CARDINAL WA YORK ALIPOULIZWA KWA NINI HANA MKE!

Priests, religious brothers and religious sisters (nuns) as part of their vocation choose not to marry following:

+ The practice recommended in the Bible

+ The example of Jesus Christ, John the Baptist, and the Apostle Paul.

SASA NGUVU YA MAUMBILE IKIPINGWA MATOKEO MARA ZOTE HUWA NI MABAYA SANA!

kama unabisha, baki single maisha yako bila MKE uone! balaa utakazo fanya!

cc Izz Ritz
 
british gays will soon discover why straights call marriage, ''pingu za maisha''. lol
 
Satan is using these people a lot. What they did is diabolic and there is no justification for that

nimeiazima kutoka huko .....
 
Hiii ni dalili ya cku za mwisho jamani tumuombe sana mungu
haha ahaha ahah eti siku za mwisho? na huyo mungu mlifundishwa na huyo mzungu leo mnajifanya mnamjua kuliko wao na leo mnauana eti dini gani ya ukweli na mnagombana dini gani ichinje nyama...mnatufanya waafrica tunaonekana hamnazo nyie!!
 
Lazima ujue kuwa uingereza kisheria, PRINCE CHARLES NI MLINZI NA MUWAKILISHI WA CHURCH OF ENGLAND!

Na hilo liko ndani ya katiba ya UINGEREZA!

Sasa nashindwa kushangaa wanaposema " church of england wanapinga" na anaesaini hio sheria ni Queen!!

Akikubalicho queen ni lazima KANISA LIFUATE!

Ndio maana tunaona mpaka ma bishops wanajitokeza hadharani na kudai wao ni WALIBERALI!

Kama yule aliyejitangaza juzi juzi tu OXFORD!

Wagalatia inatakiwa wapige kelele saana au la sivyo Kanisa linakwenda pabaya!

lkn pia ukichunguza utaona hawa mabishops wanajikuta wanaingia kwenye hii balaa kwa sababu,
moja ya sheria za kuwa kiongozi wa kanisa ni, KUTOKUWA NA MKE!!

mfano wa haraka ni : papa john paul na huyu papa francis ( hakuna mke wala watoto)

Sasa" when mother nature kicks in" utafanya nini? ile maneno ikichachamaa unafanyaje sasa!?

YAFUATAYO NI MAJIBU KUTOKA KWA CARDINAL WA YORK ALIPOULIZWA KWA NINI HANA MKE!

Priests, religious brothers and religious sisters (nuns) as part of their vocation choose not to marry following:

+ The practice recommended in the Bible

+ The example of Jesus Christ, John the Baptist, and the Apostle Paul.

SASA NGUVU YA MAUMBILE IKIPINGWA MATOKEO MARA ZOTE HUWA NI MABAYA SANA!

kama unabisha, baki single maisha yako bila MKE uone! balaa utakazo fanya!

cc Izz Ritz

Adhabu za Mungu ziwashukie.
 
haha ahaha ahah eti siku za mwisho? na huyo mungu mlifundishwa na huyo mzungu leo mnajifanya mnamjua kuliko wao na leo mnauana eti dini gani ya ukweli na mnagombana dini gani ichinje nyama...mnatufanya waafrica tunaonekana hamnazo nyie!!

usilazimishe kucheka! na kwa taarifa tu ! si wote tulio fuata dini ya mzungu na huyo mungu wa kizungu kwenye picha!

dini yangu mimi ni dini ya maumbile,
dini iliyo niruhusu nioe na kuwa na watotona ni dini inayo nifundisha kuabudu MUNGU WA KWELI!

AMBAE HAJA WAHI KUSULUBIWA WALA KUFA KIFO CHA MSALABA, HAJAWAHI KUSKIA NJAA, WALA KIU!
HAJAZALIWA WALA HAJAZAA!
WALA HANA ANAE FANANA NAE KATIKA UUNGU WAKE!
MUNGU WANGU MIMI NI MUNGU MKUUU. aliye waumba hao wazungu na huyo aliyo wekwa kwenye picha akaabudiwa!

na amekuumba wewe na wazee wako na akakupa pumzi ukawa na uwezo wa kumkana na kucheka kwa kebei! lkn MUNGU MKUU ANASEMA "HAKIKA KILLA NAFSI ITAONJA MAUTI! NA ATAKAE EPUKANA NA ADHABU YA MOTO NA AKAINGIA PEPONI ATAKUWA AMEFUZU KUFUZU KULIKON KUKUBWA MNO!

We ndugu kana tu! lkn MUNGU ALIYE KUUMBA ni mwenye subira, na hakika utarudi kwake!
 
Asante ila sihitaji kujua zaidi ya hapo,just keep it to yourself !!
 
Ni Kama ume-QUOTE KWNY BIBLE YA MZUNGU
 
Uingereza imehalalisha kisheria ndoa za jinsia moja baada ya mswada uliopitishwa na bunge lao jana kuwa sheria kusainiwa na Malkia leo Jumatano saa tisa na dakika sita mchana kwa saa za Uingereza.

Sheria hiyo inajulikana kama Marriage (Same Sex Couples) Act 2013. Ndoa za jinsia moja zitaanza kufungishwa rasmi kuanzia katikati ya mwaka 2014.

Sheria hiyo mpya inaungwa mkono na viongozi wa vyama vyote vya siasa nchini humo akiwemo Waziri Mkuu wa sasa David Cameron. Cameron alipata upinzani mkali kutoka kwa baadhi ya wabunge wa chama chake cha Conservative.

Hata hivyo, mswada huo ulipitishwa kiulaini kabisa na kuwa sheria baada ya kuungwa mkono na wabunge wengi wa vyama vya Labour na Liberal Democrats.

Sheria hiyo inaruhusu mpaka ndoa za kidini za jinsia moja, lakini hailazimishi madhehebu ya dini kufungisha ndoa hizo ndani ya madhabahu yao. Pia makanisa, misikiti, nk hayatashtakiwa mahakamani kwa kukataa kuwafungisha ndoa watu wanaotaka kufunga ndoa ya kidini.

Church of England ni moja ya makundi ya kidini yaliyopinga ndoa za jinsia moja.

Inatakiwa wapewe sharti la KUZAA wasipozaa kwa kipindi cha miezi kumi na mbili WAPIGWE RISASI hadharani ili liwe fundisho kwa wengine.
 
Hiii ni dalili ya cku za mwisho jamani tumuombe sana mungu

Ni kweli kabisa, wanadamu wametenda dhambi zoooote za kumuudhi Yehova, lakini bado Amewavumilia. Sasa wameamua kuifanya dunia sodoma na gomora waone kama Yehova Haja-react.
 
Ndugu nilikuwa nauliza huyo Yehova ni nani?!

Ni Yesu au!?! Ni MUNGU wa Yesu?

Ni swali tu! La kutaka kujua zaidi.
 
Inatakiwa wapewe sharti la KUZAA wasipozaa kwa kipindi cha miezi kumi na mbili WAPIGWE RISASI hadharani ili liwe fundisho kwa wengine.

We hujui siku hizi kuna watoto wa test tube!
Na si muda mrefu binaadamu ataweza kwenda kununua mtoto kwenye makopo supermarkets!

Au huna habari kuwa mliberali Elton john na mume/mke wake david furnish wana mtoto wa kiume anaitwa "zachary "!!

Ulimwengu ule uujuao sio huu tena!

Cha kuskitisha zaidi huko europe viongozi wa makanisa pia wamejitokeza kwa wingi na kudai kuwa ni WALIBERALI!
Sasa hapo sijui Yehova atalifanya nini kanisa!

Labda lipigwe radi! Pamoja na hao viongozi waliberali wafie humohumo!

Au we unafikiriaje!
 
....Au huna habari kuwa mliberali Elton john na mume/mke wake david furnish wana mtoto wa kiume anaitwa "zachary "!!

....
zachary na elijah
ONE+USE+-+Elton+John+and+David+Furnish+.jpeg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom