Ni kwasbb US haminiki kama nchi rafiki wao wakudumu, Trump kabadili misimamo ya nchi za Ulaya, wana haha kupata washiriki wengine, incase.Haya ni mabadiliko makubwa katika siasa za sasa za kikanda na kidunia.
Wafanyabiashara wa Uingereza wataruhusiwa kuingia china bila visa
Ndivo malaya walivyo. Wakiona umeanza kusuasua kuongeza bia, michemsho huagizi tena!!!! Chaap sana wanahamia meza iliojaa vinywaji.Haya ni mabadiliko makubwa katika siasa za sasa za kikanda na kidunia.
Wafanyabiashara wa Uingereza wataruhusiwa kuingia china bila visa
Katika siasa hamna adui wa kudumu au rafiki wa kudumu US imedhibitisha hili, nchi za ulaya mpaka zinaona Russia kua reliable enemy kuliko US ambae is unreliable friend .Ni diplomasia ya kipekee sana nyakati hizi
NAM ni sera muhimu sana hapa ndipo ninapomkumbuka Nyerere na Wenzake waliochukua msimamo huuKatika siasa hamna adui wa kudumu au rafiki wa kudumu US imedhibitisha hili, nchi za ulaya mpaka zinaona Russia kua reliable enemy kuliko US ambae is unreliable friend .
Hivi kwanini mnaamini Nyerere? Hakua na msimamo alikua ana kubatana na mabepari na huko iko na iko na socialists, yeye alipenda kua jui, ila wananchi waje wakiwa masikini wakutupwa, mpaka sasa hivi Tanzania haijarecover kutoka kwenye economic mistakes za Nyerere.NAM ni sera muhimu sana hapa ndipo ninapomkumbuka Nyerere na Wenzake waliochukua msimamo huu
EU kwa sasa wanatapa tapa kama kuku aliekatwa kichwa.
Huu ndio ulikua wakati mzuri serikali yetu kujenga urafiki na ushirikiano mzuri na nchi za ulaya maana haitakuja kutokea teeeeeeena.
Tengeneza urafiki zipatikane nafasi nyingi uwamwage vijana ulaya huko upunguze kelele za ajira.
India anafaidika saaaana na hii situation ya sintofahamu kati ya US na Ulaya.
View: https://youtube.com/shorts/vGC0bhSMI88?si=AKTNdlAynWC4Jg7i
Itafaidika na kuwa mahusiano ya karibu na ccm.Ulaya itanufahika na nini kutoka Tanzania ?
Ni mda sasa kwa china kufukuliwa kila mahala , USA , sasa itatuma watu wa kutosha , Uingerereza so china itajikuta anafanya biashara na Uingereza kumbe inafanya na WamerekaniHaya ni mabadiliko makubwa katika siasa za sasa za kikanda na kidunia.
Wafanyabiashara wa Uingereza wataruhusiwa kuingia china bila visa
Si vibaya ukiweka source ya hii habari yako.Haya ni mabadiliko makubwa katika siasa za sasa za kikanda na kidunia.
Wafanyabiashara wa Uingereza wataruhusiwa kuingia china bila visa
Ipo misingi aliyoiweka ambayo sasa ndio inatufanya tuingie kwenye utandawazi tukiwa na kizazi chenye elimu ya kupamabna na walioendelea.Hivi kwanini mnaamini Nyerere? Hakua na msimamo alikua ana kubatana na mabepari na huko iko na iko na socialists, yeye alipenda kua jui, ila wananchi waje wakiwa masikini wakutupwa, mpaka sasa hivi Tanzania haijarecover kutoka kwenye economic mistakes za Nyerere.
Ndivo malaya walivyo. Wakiona umeanza kusuasua kuongeza bia, michemsho huagizi tena!!!! Chaap sana wanahamia meza iliojaa vinywaji.
Hizi ndo tabia alisema Nyerere "TABIA ZA KIMALAYA MALAYA"
Hahahahaaa.. Hujawakuta wenye njaa. Watakuja hivyohivyo. Hata kama umeweka master na energy.Ndio maana mezani kwangu hua hawasogei, Maan kuna kuwaga na Maji + Wine ndogo ya 6000.