Wazo la kabwela
JF-Expert Member
- Feb 13, 2013
- 1,901
- 1,511
Mkuu hujafanya tu utafiti wako
ukwel cjaufanya japo kuwa nilishaframe maswali. hii ni kutokana na kuumwa na kulazwa hospital kwa takriban wik 2 yan ndo nimeruhusiwa jana namshukuru MUNGU.
maswali yako 3 tu nayo ni
1.unaelewa nini unaposikia Maneno MAREKANI na UINGEREZA??
2.kuna tofauti gani kati ya MAREKANI na USA au UINGEREZA na UK.??
3.toa ufafanuzi wa maneno haya 1.MKUKUTA na MKURABITA.