Nani kakwambia wanaenda kanisani? Watu huko Ulaya walishaacha kwenda kanisani kitambo sana.Wanajua sana uwepo wake, ila wanajtoa ufahamu.kwan mbna wana makanisa na wanaenda kansan..
They don't. Ulaya life is about having fun and enjoying, that is where it ends.Sasa wanafanya nn for worship? ?
Jkute we ndo Mungu.vaa viatu vyake kwa kutaka kumsaidia halafu uwe wewe, umkute mtu anajusaidia kugonga mke wako.muachane Mungu afanye yake jamanii
Mmh.kujnyonga au???
Ndio namjua
Bunge la uingereza lipo katika majadiliano ya haki ya kifo kwa mgonjwa ambae ataona ameugua sana na ugonjwa wake hauna dawa wala hawezi kupona, hivo mgonjwa ana haki ya kupata msaada wa kifo kutoka kwa madaktari ambao wata sign hati ya mgonjwa husika.
Unalionaje hili??
Uvunjaji mkubwa wa haki za binadamu na hasa sheria.Mtu akiugua sana kiasi cha kukaribia kufa akili yake huwa haiko vizuri kwa ufupi haiko timamu.Hivi mtu asiye na akili timamu daktari aweza msikiliza akisema nichome sindano nife? Ni kinyume cha sheria mtu asiye na akili timamu aliyekata tamaa ya kuishi kuomba afe na daktari akamsikiliza.
Bunge zima kukaa kujadili kitu kama hicho nadiriki kusema uwezo wa kufikiri waingereza niliokuwa nawajua kuwa wana akili sana naona sasa unaelekea ukomo.
Pia kazi ya daktari ni kuhangaika na mgonjwa hadi dakika ya mwisho ziweko dawa au zisiwepo fani ya udaktari imeingiliwa na wanasiasa wa uingereza ni aibu.
Kazi ya daktari si ku-facilitate au ku-fast track kifo cha mtu never.
Madaktari na manesi wa tanzania andamaneni kupinga yanayoendelea uingereza ni aibu kwenye fani ya udaktari.
Hata Kama Bulldog ,the issue is kumuua MTU.mwache ajifie siku zake zikifika atavuta tu
Duh..jamaniii wewe.kuwa na huruma mara zotee za maisha yako