Uingereza Kujadili mswada wa kujiua

Uingereza Kujadili mswada wa kujiua

Nyoyo zisizomtambua Muumba wao ni sawa na kinyesi kilicho kauka.....Maradhi ni njia moja ya Allah kuwasamehe na kuwafutuia madhambi yao waja wake(watu wema) kabla kufa...Je kukimbilia kufa ndo uhakika wa kupumzika? Ni mada pevu na inayohitaji Muda wa kutosha....
 
Kwa watu wema ni njia ya kupata msamaha kutokoa kwa Mola wao...ama kwa watu kama Sharon ilikua ni Namna ya adhabu ambayo Allah alitaka aanze kumuadhibu akiwa ulimwenguni kabla kumfanya kuwa ni kuni za motoni!
 
Ni dalili ya Mtu asietaraji kukutana na Mola wake...huwa anapenda dunia zaidi...tukubali utaratibu wa muumba wetu...uzee ni Neema kwa wanaotuzunguruka...pia ni namna ya kuweza kupata Kumshukuru Muumba wako unapowaona vijana na wewe ukiwa mzee utaweza kujua kuwa Allha alikupenda kwa kukupa umri ambao kijana alieko mbele yako hana uhakika wa kufika...let us be positive on every thing guys!
 
hawa watu wako stage nyingine hata Mungu hawamjui uumbaji wake na vitu vyake
 
Ni dalili ya Mtu asietaraji kukutana na Mola wake...huwa anapenda dunia zaidi...tukubali utaratibu wa muumba wetu...uzee ni Neema kwa wanaotuzunguruka...pia ni namna ya kuweza kupata Kumshukuru Muumba wako unapowaona vijana na wewe ukiwa mzee utaweza kujua kuwa Allha alikupenda kwa kukupa umri ambao kijana alieko mbele yako hana uhakika wa kufika...let us be positive on every thing guys!

Hili ndilo neno ambalo hata mm nltaka kulsema ila nlkosa ufafanuz.kwel kabsa mkuu
 
kuna faida gani ya kuuguza mgonjwa aliye kwenye comma kama Arial sharon?
si mzazi wako wala ndugu yako wa karibu ndo maana unaongea...
hii ni dhambi inahalalishwa, na nashangaa askofu mzima anaunga mkono. wanatafta kila njia kupunguza idadi ya watu
 
Ni nzuri ndugu yangu, inasaidia sana kwenye gharama na matesa.

Yan unakuta mtu anateseka miaka na miaka na magonjwa, kwanin kusiwe na short cuts?

Mmh..unakiuka kanun za kdn, usiue.sasa itakuwa kama Mungu hajui kaz yake
 
Back
Top Bottom