sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 649
Maana ya mtu ipo kwa mzungumzaji
Sambi sako mwenyewe kwa kusababisha watu watende sambi kwa kuwasa ndivyo sivyo!
Je wazungu tuambie raha zaoNdio raha ya kiswahili hii!

Ingiza polepole inauma, halafu utanitoa damu pia; Kwani ni mara yangu ya kwanza, sijazoea kabisa, tafadhali naomba sana unielewe.

sipendi kuumizwa umizwa ndio maana sijawahi hata siku moja, yaani leo imebidi tu iwe hivyo!!!!

Hayo ni maneno ya Mgonjwa kwa Doctor wakati anataka kung'olewa Jino kwa mara ya kwanza!!! usiwaze dhambi tu
sasa mkuu jino linaingizwa ama linatolewa?angemuambia atoe taratibu banaa

Aingize koleo ya kutolea jino na mikasi......hapo je???
Mume wangu leo uichomeke vizuri iingie hasa!Maana jana nimetanua miguu tu ikatoka!
Mume:mbona nilichomeka vizuri!!!
Mke:Basi itakuwa kitanda kikubwa kuliko hiyo neti.:A S 2152: