Mkuu naomba nikuulize swali la kizushi.. Kabla hujampata Mama yetu Hamida... inaonyesha ilikuwa kiwembe kweli kweli. Sasa swali langu ni hili. Enzi hizo tatizo kubwa lilikuwa Gono. Je uliwahi kulipata.. if yes what was experience.. if no hebu tueleze kidogo kwa watu wako wa karibu ambao walishapata huu ugonjwa.. mlikuwa mnamchukuliaje mtu aliepata Gono?Sijaanza kuandika bado.
Endeleeni kujadili, kuuliza maswali, etc.
Nikipata wasaa nitaandika na kuweka.
Waalikeni na vijana wengine wasome simulizi hii, yapo ya kujifunza na kujikumbusha.
James Jason
Bahati nzuri nimeishia kusoma kwenye machapisho tu. Wakati huo gono na kaswende + pangusa ndiyo yalikuwa magonjwa hatari sana. Lakini yalikuwa yanatibika vizuri ukiwahi.Mkuu naomba nikuulize swali la kizushi.. Kabla hujampata Mama yetu Hamida... inaonyesha ilikuwa kiwembe kweli kweli. Sasa swali langu ni hili. Enzi hizo tatizo kubwa lilikuwa Gono. Je uliwahi kulipata.. if yes what was experience.. if no hebu tueleze kidogo kwa watu wako wa karibu ambao walishapata huu ugonjwa.. mlikuwa mnamchukuliaje mtu aliepata Gono?
Leo kuna muendelezo au kachu?Bahati nzuri nimeishia kusoma kwenye machapisho tu. Wakati huo gono na kaswende + pangusa ndiyo yalikuwa magonjwa hatari sana. Lakini yalikuwa yanatibika vizuri ukiwahi.
Aliyepata ilikuwa kama ajali tu, wanawake wengi wao ndiyo walikuwa wanachelewa kujijuwa kama wameambukizwa, ila akitembea na mtu, huyo mtu akijua tu humwambia na wote hutibiwa.
Zilikuwepo pia dawa za kienyeji, na zilifanya kazi vizuri.
Mgonjwa wa magonjwa ya zinaa enzi hizo alisaidiwa na siyo kunyanyapaliwa, labda 'ajifiche' lakini hatimaye hujitokeza tu mbele ya wenzake.
James Jason
Kachu.
Nipo nchi ya watu, bize kidogo na mambo fulani. Ila tayari nimeanza mdogo mdogo kuandika kila nikipata utulivu nasogeza.
James Jason
Mkuu pole na majukumu lakini usituache hivi hivi ukipata nafasi tuwekee kidogo!Kachu.
Nipo nchi ya watu, bize kidogo na mambo fulani. Ila tayari nimeanza mdogo mdogo kuandika kila nikipata utulivu nasogeza.
James Jason
Mzee wetu leo na jana kimya sana ?Sijaanza kuandika bado.
Endeleeni kujadili, kuuliza maswali, etc.
Nikipata wasaa nitaandika na kuweka.
Waalikeni na vijana wengine wasome simulizi hii, yapo ya kujifunza na kujikumbusha.
James Jason
Soft copy vipo, cha perfumed garden nilisha kisoma.Asante nitavitafuta kwa namna yoyote,maana sina uhakika kama nitapata soft copy
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante,nisadie soft copy ya hivi viwili kama unavyoSoft copy vipo, cha perfumed garden nilisha kisoma.
Hivyo sijapata bado kaka.Asante,nisadie soft copy ya hivi viwili kama unavyo
1. "French Sex Art Manners" - Georges Valensin - 1970
2. "Kama Sutra' - Vatsyayan Richard Francis Burton
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamasutra nimeona kile chenye pic, sex position nikakipotezea, hicho kingine kinauzwa asee ebook.Asante,nisadie soft copy ya hivi viwili kama unavyo
1. "French Sex Art Manners" - Georges Valensin - 1970
2. "Kama Sutra' - Vatsyayan Richard Francis Burton
Sent using Jamii Forums mobile app