Asante sana nimewafikia. Nilianza kuisoma Jana, nilikuwa naiona tu hii story ila naipotezea nikawa najiuliza mbona uzi unasogea hivi lazima itakuwa nzuri mpaka nikauliza. Aisee una memory nzuri na akili ya kufafanua jambo. Kwa umri ulioutaja si ni age ya le mutuz . Namuona bado. Juu ya ujana ulioupitia ila ulikuwa na heshima zako. Ila ulipenda kubadili dini ghafla inataka moyo