Uhusiano wa sura na roho upo

sinajinasasa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
2,989
4,130
Nimejifunza katika kuishi kwangu kuwa kuna uhusiano mkubwa wa sura ya mtu na roho yake. Wengi wenye sura za ajabu na roho zao ziko hivyo hivyo. Ni vigumu sana kuona mtu mwenye sura ya kupendeza akawa na roho mbaya.

Watu wenye roho mbaya kama uchoyo, ukatili nk sura zao hazivutii. Ni hilo tu
 
kama kwa mfano? Mbona Hitler kama vile alikuwa handsome????? Labda waafrika...
1574246852941.png

1574246932364.png
 
Mkuu labda eneo ulilokaa na kufanyia utafiti wako wamejaa watu wenye sura ngumu ndio maana ila sidhani kama kuna uhalisia katika hicho ulichokiandika hapa
 
Labda kisaikolojia.

Maana baadhi ya masuala ya kisaikolojia ya mtu huchangia pia kwa namna moja ama nyingine mabadiliko ya nje ya mwili wake ikiwemo sura yake.

Mfano, mtu akiwa ni mwenye msongo wa mawazo kwa muda mrefu sana na hasira zisizoisha basi hata muonekano wake ikiwemo sura yake huchakaa na kukunjamana.
 
Natafakari😐😐😐😐
 
Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    26.8 KB · Views: 1
  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    14 KB · Views: 1
Hii inaukweli
kbsaaa

uzi unafundisha sana huu
mods wekeni huu uzi kwenye sticky threads....
 
Back
Top Bottom