Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,167
- 10,226
Kuna uhusiano wowote kati ya kufanikiwa kimaisha na kuoa
ndio. utaoaje wakati hujafanikiwa!!!?
Kuna uhusiano wowote kati ya kufanikiwa kimaisha na kuoa
Hapana kwa kweli....mi nahisi ukiwa pekeyo ni rahisi zaidi kufanikiwa
toa hoja
kijana ukioa akili itahamia kwenye majukumu ya namna ya kuendeleza familia.. bt ukiwa single pesa unazopata unawaza namna ya kuzitumia.. wachache mno wenye mafanikio makubwa wasiooa..
pole jamani na ujanja wote huo duHahaaaaa! At first i was HURT but now i am OFFENDED! I might not be so comforting but let you not forget that I STILL HAVE A SOUL TOO!
at every successful man there is a woman behind and vice versaKuna uhusiano wowote kati ya kufanikiwa kimaisha na kuoa
ndoa pia ni sehemu ya mafanikio, so kuoa na mafanikio vina uhusiano mkubwa sana....Kweli
64Bits wewe unaonaje?
..lakini sentence ya mwanzo nimeipenda kuliko zote...lol.Mie nasikitika hukunioa weye Eli79 tungekuwa mbaaalii! Lol natania bwana. I think its true kama ukimuoa mwanamke mwema, anayejua kujibana, kushiriki kutafuta, kuvumilia mkikosa na ku encourage kuwa things will change for the better, anayeweza kutoa kwa benefit ya familia. But... and a very big but, mwanaume nae anapaswa kuwa responsible, anayeiweka familia yake mbele sio kutanua na michepuko tu au kuwa mchoyo wa za kwake akiwa nazo. Hii inavunja moyo sana na kurudisha nyuma maendeleo