Uhusiano wa Ndoa na Mafanikio

Uhusiano wa Ndoa na Mafanikio

Ukiwa radhi njoo nikuonjeshe maisha ya ndoa halafu baada ya kunogewa uache. Kitanda usichokilalia hujui raha/kunguni wake
Hahaaaaa! Im REALLY LIKE REALLY HURT that you of all people thinks that low of me! EVEN THE DEVIL IS NOT SO BLACK AS HE IS PAINTED!
 
Ukiwa radhi njoo nikuonjeshe maisha ya ndoa halafu baada ya kunogewa uache. Kitanda usichokilalia hujui raha/kunguni wake
Psheeeeeeeew! WHO ARE YOU KIDDING? Spare me the sentiments but you are no Angel dear!
 
Sidhani kama mtu unaweza oa huku hujapata mafanikio economically kwa level ya wastani...ukienda kuoa hujajiokoa kiuchumi somehow utakua unajidanganya...msinishambulie guys,thats my two cents.
 
ndoa pia ni sehemu ya mafanikio, so kuoa na mafanikio vina uhusiano mkubwa sana....Kweli

Mkuu Kemanya,kama ulikua una speed ya 120km/hr katika kutafuta hela ulipokua single,ukishaoa tu speed inapungua to maybe 90km/hr...coz kila kitu ni up for discussion,kutakua na delay factor which is very wrong aspect ya maendeleo...maendeleo yanakuja kwa maamuzi ya fasta,ya kidikteta bila kungoja...sasa mkishakua wawili tayari delay...mtafika ila ita take longer...
 
kijana ukioa akili itahamia kwenye majukumu ya namna ya kuendeleza familia.. bt ukiwa single pesa unazopata unawaza namna ya kuzitumia.. wachache mno wenye mafanikio makubwa wasiooa..

Mkuu kama mtu ana tabia ya kutumia hela tena akiwa na familia hawezi acha...na tena ndio atatumia excuse kuifuja in the name of the family...shida sio kutumia hela,ni kutumia wrongly,hela tunamshikia bwana matumizi ndio mwenye hela,shida ni wrong decisions....
 
inategemea kama umeoa/umeolewa na mbulula utaona bora ulivyokuwa mwenyewe

Ni kweli Lin,shida ni kwamba if a man is A material,ataoa B material woman or lower not of par or A+.....like B man,goes lower to C+ or lower zaidi,and so on....therefore,mara nyingi akioa tu speed ya wealth accumulation inapungua kidogo collectively...inturn inachukua muda mrefu ku reach the promised land economically collectively...ukioa sio kwamba hutakua tajiri,itatake longer.
 
Exactly aina ya partner utakae oana nae determines alot kwenye speed ya mafanikio yenu LebronWade
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kemanya,kama ulikua una speed ya 120km/hr katika kutafuta hela ulipokua single,ukishaoa tu speed inapungua to maybe 90km/hr...coz kila kitu ni up for discussion,kutakua na delay factor which is very wrong aspect ya maendeleo...maendeleo yanakuja kwa maamuzi ya fasta,ya kidikteta bila kungoja...sasa mkishakua wawili tayari delay...mtafika ila ita take longer...

Nakuunga mkono kwa asilimia 200.
Mwanzoni nilikuwa na mawazo ya kwamba mkiwa 2 mambo yatakuwa ni mteremko na kwa sababu mtaunganisha nguvu basi maendeleo ni faster. In reality haiko hivyo kabisa tena mwanzoni mtapiga marktime sana, mpaka mje m-takeoff it will take time.
 
Back
Top Bottom