habib marwan
Member
- Sep 1, 2014
- 27
- 0
Kuna uhusiano wowote kati ya kufanikiwa kimaisha na kuoa
ndio......... ukioa mnakuwa team hata katika maendeleo
acha kumdanganya mwenzako
Psheeeeeeeeeeeew!!!!ndio......... ukioa mnakuwa team hata katika maendeleo
Kuna uhusiano wowote kati ya kufanikiwa kimaisha na kuoa
Psheeeeeeeeeeeew!!!!
Hapana kwa kweli....mi nahisi ukiwa pekeyo ni rahisi zaidi kufanikiwa
Hahaaaaa! Im REALLY LIKE REALLY HURT that you of all people thinks that low of me! EVEN THE DEVIL IS NOT SO BLACK AS HE IS PAINTED!hahahah nakujua unapenda matunda bivu yaliyo tayari kwa kuliwa hutaki kumwagilia wala kuweka mbolea lol
Hahaaaaa! Im REALLY LIKE REALLY HURT that you of all people thinks that low of me! EVEN THE DEVIL IS NOT SO BLACK AS HE IS PAINTED!
Hahaaaaa! At first i was HURT but now i am OFFENDED! I might not be so comforting but let you not forget that I STILL HAVE A SOUL TOO!hahaha hatujawahi kumwona shetani ila visa vyake vinatupa picha tunaimagine hata kwako pia lol
habib marwan jibu la swali lako analo jack Bauer.