THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,066
- 4,775
Huu uzi mtamu sana baada ya miaka mingi kupita na wote kuwa marehemu leo ndani ya jf nakutana na Lucas mobutu(akiwakilisha rais mobutu)wimbo azda awali ulikuwa tangazo LA biashara ambalo kampuni ya kuuza magari ya voxwagen waliipa OK jazz tenda ya tangazo
tangazo likanoga Franco akaligeuza wimbo hapo hapo.Franco kwakweli atabaki legend
Daaah noma sana mimi hapa huwa naimba "peeewee pewe pewe pewee peweee...komanina aza..aza...Congoyashikaaa..." Nilikuwa sijui hata maana yake ila leo nimejua kumbe nilikuwa naimba pumba! Na wimbo huo wa madiluu na franco naupenda sana!jamaa alkuwa noma sana,amefariki kabla sijazaliwa lkn kazi zake baadhi nazijua,
Azda ni jina la mfanyabiashara mkubwa Congo enzi hizo jamaa alimtungia wimbo ,alkuwa anauza magari ndio maana kweny huo wimbo unasikia anasema Vewe Vewe Vewe maana yake ni VW VW VW ( Volkswagen)
jf ibarikiwe sanaHuu uzi mtamu sana baada ya miaka mingi kupita na wote kuwa marehemu leo ndani ya jf nakutana na Lucas mobutu(akiwakilisha rais mobutu)
na wewe bwana luambo makiadi (ukimwakilisha franco luambo makiadi)
Long live jf

wimbo mamuu mana yake n msichana alietoka afrika akaenda nchi za ulaya kufanya kaz za ndani sasa akawa kanogewa na life LA kule akasahau kuwa kwao n choka mbayaMamu ni noma
na aliemwambukiza n mwanamzki aitwaye mpongo love alieimba nyimbo iitwayo "ndaya"Mwisho Franco alikufa kwa ngwengwe
mm ktk simu yangu nyimbo za Franco zipo 500 hiviDaaah noma sana mimi hapa huwa naimba "peeewee pewe pewe pewee peweee...komanina aza..aza...Congoyashikaaa..." Nilikuwa sijui hata maana yake ila leo nimejua kumbe nilikuwa naimba pumba! Na wimbo huo wa madiluu na franco naupenda sana!
ninazo nyimbo za Franco hapa karibu 500 hiviMkuu ,hata mimi ni kijana pia but namuelewa sana franco,,,,afu huyo mdogo ake aliitwa bavon marie,aliacha mtoto mmja ni pàstor,,,ni vema ukizituma humu nyimbo hizo ulizotaja coz ni vigumu kuzipata mtandaoni ,nyingi hapo sizijui,,

Hahaha[emoji23] umetisha mkuuDaaah noma sana mimi hapa huwa naimba "peeewee pewe pewe pewee peweee...komanina aza..aza...Congoyashikaaa..." Nilikuwa sijui hata maana yake ila leo nimejua kumbe nilikuwa naimba pumba! Na wimbo huo wa madiluu na franco naupenda sana!
Ahsante kwa marekebisho ,mkuuAsante sana ila kiswahili chako NYIMBO YA .... si sahii, sema NYIMBO ZA.... ni wingi lazima ziwe nyimbo mbili au sema hivi WIMBO WA..... nk
Inasemwa hivo,but yeye mwenyewe alikataa sana,akasema kama vipi asubiri afe wampimeMwisho Franco alikufa kwa ngwengwe
Ukiweza ziweke,ni adimu hizoninazo nyimbo za Franco hapa karibu 500 hivi
sijui namna ya kuziweka hapa mkuu