Uhusiano wa Franco na Mobutu

jamaa alkuwa noma sana,amefariki kabla sijazaliwa lkn kazi zake baadhi nazijua,
Azda ni jina la mfanyabiashara mkubwa Congo enzi hizo jamaa alimtungia wimbo ,alkuwa anauza magari ndio maana kweny huo wimbo unasikia anasema Vewe Vewe Vewe maana yake ni VW VW VW ( Volkswagen)
 
aaahggggh kama ndiye huyo basiiii nimeshamjua ila nilikuwaga sijui kama ndiye Franco....basiiii jamaa alikuwa ni talent sana
 


Franco hajawahi kutembea na M'pongo Love na isitoshe M'pongo Lov hajawahi kuimbia bendi ya OK Jazz hata siku moja. Franco aliambukizwa ukimwi na demu wake anayetoka nchi ya Haiti, Franco kwa asilimia kubwa sana katika miaka ya 80 kati mpaka kifo chake alikuwa anaishi Ubelgiji.
 
labda umesahau,hebu fwatilia historia ya mpongo love,mwaka 1977 Franco alimsajili mpongo ktk band alikaa miaka miwili okk jazz,hata wimbo wake "ndaya"aliutunga kwa msaada wa Franco,hebu fwatilia
mpongo love alifariki 1994
 
Candida na mobiso acha kabisaa.. Mobutu kamwagiwa misifa...kama mbwa vile ukimshika kichwa kwa kumkuna anavyotikisa mkia..
hahaha Franco alifanya hivyo kwa lengo LA kumchuna hela Mobutu
baada ya kutunga huo wimbo Mobutu akampa malori 6 mapya
 
wimbo azda awali ulikuwa tangazo LA biashara ambalo kampuni ya kuuza magari ya voxwagen waliipa OK jazz tenda ya tangazo
tangazo likanoga Franco akaligeuza wimbo hapo hapo.Franco kwakweli atabaki legend
 
Sante mkuu nitasimulia vzazi vyangu
 
Mkuu ,hata mimi ni kijana pia but namuelewa sana franco,,,,afu huyo mdogo ake aliitwa bavon marie,aliacha mtoto mmja ni pàstor,,,ni vema ukizituma humu nyimbo hizo ulizotaja coz ni vigumu kuzipata mtandaoni ,nyingi hapo sizijui,,
 
Franco huwezi mjua kama husikilizi nyimbo za kikongo,hao wengine tunawajua sababu ni wanasiasa mkuu,
 
Ahsante kwa maarifa mkuu
 
Franco huwezi mjua kama husikilizi nyimbo za kikongo,hao wengine tunawajua sababu ni wanasiasa mkuu,
mkuu ..huniambii kitu ..kuhusu yondo sister'' pepe kale"" kanda bongo man "" bileku mupasi "" na ile album ya muungano wote wa soul stars""
naipenda mnooo nyimbo ya hidaya"" ukitaka nisitike kwenye radio ni pigie old school zote za nyimbo za Congo "" zoote yaaani ""
 
Hawa ni generation ya baada ya franco,enzi zake alikua na upinzani na tabu ley,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…