Dr mnzavas
Member
- Mar 15, 2015
- 55
- 21
Wapare na wataita wanasinizaz
Mpaka sasa ni makabila matano pekee Tanzania ndiyo yametoa maraisi.. Tanzania kuna makabila zaidi ya 120..Rais hawezi kutoka si kwa wanaojiita wachaga tu bali kaskazini nzima haitakuwa na rais. Labda marais wa Civil Society's tu kama vyama vya siasa na NGO nyingine.
Wataishia kugombea tu. Maana wanaongoza kwa kutoa wagombea wengi zaidi wa urais kwa nchi hii
YatajeMpaka sasa ni makabila matano pekee Tanzania ndiyo yametoa maraisi.. Tanzania kuna makabila zaidi ya 120..
Yataje
Mzanaki, Mzanzibar (Mzaramo), Mmakuwa, Mkwere na MsukumaFisadi kuu, taja yalioongoza Tanzania
Povu LA bure tu.kama kabila lako Lina majina ya uroki urasa Kimario swai shirima Njau yakiwa na maana moja basi na ww ni mchaga maana mila itakuwa mojaUmeandika maneno mengi lkn ni kwamba unazunguka pale pale tu kama wenzako, tuanze taratibu, ni nini maana ya Kabila? Hayo mambo yote ulioyataja yapo kwa baadhi ya wanaoitwa Wapare pia hata ukivuka boda upande wa Kenya kuna watu wanaitwa Wataita wana hayo yote uliyoyataja hata lugha wanaingiliana na wanaoitwa Wachaga TZ mbona hawaitwi kabila la Wachaga?
Hivyo tuanzie hapo niambie maana ya Kabila kwanza!
Mchaga ni MTU mwenye asili ya maeneo ya uchagani huko mkoani Kilimanjaro ukitoa maeneo ya upareni the rest ni chaggalandUmeulizwa swali hapo juu, labda ndo unalijibu. Nijibu kwa ufupi kabisa, bila mboyoyo.
1. Mchaga ni nani?
2. Luga ya kichaga ni ipi?
Lugha ya wachagga ni ile inayoongelewa na wachagga yaani kichaggaUmeulizwa swali hapo juu, labda ndo unalijibu. Nijibu kwa ufupi kabisa, bila mboyoyo.
1. Mchaga ni nani?
2. Luga ya kichaga ni ipi?
Na akitokea huko utaenda wapi?Rais hawezi kutoka si kwa wanaojiita wachaga tu bali kaskazini nzima haitakuwa na rais. Labda marais wa Civil Society's tu kama vyama vya siasa na NGO nyingine.
Wataishia kugombea tu. Maana wanaongoza kwa kutoa wagombea wengi zaidi wa urais kwa nchi hii
Nitahama nchiNa akitokea huko utaenda wapi?
Poa jiandae mkuu.Nitahama nchi
Haitotokea. U gavana tu mmejenga lami hadi shamba, je urais?Poa jiandae mkuu.
Mkuu hayo ni http://maendeleo kama chato kujengwa airport.kwenu kukijengwa hivyo utalalamika?Haitotokea. U gavana tu mmejenga lami hadi shamba, je urais?
Ya chato VP mkuu?Ndo mliharibu sasa wakati kuna mikoa inazalisha sana hadi leo miaka 50 ya uhuru haijunganishwa hadi leo