Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,581
Salam.
Kwanza naomba niipongeze serikali yetu yenye amani tele toka enzi ya Mwl Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa, Mzee Kikwete na sasa jembe letu lingine Dkt John Joseph Pombe Magufuli kwa namna ambavyo wamekuwa wakiweka safu sawa ya kikosi cha mpira.
"Shushushu , Afisa Usalama wa Taifa" ni maneno ambayo nimeanza kuyasikia nikiwa elimu ya sekondari Mzumbe mwaka 1998 kidato cha 2.Na n watu ambao kwakweli wanaisaidia sana nchi yetu kwenye mambo ya kiusalama (intelligence).Ila nimekuwa nashindwa kuelewa tofauti ya hawa muhimu katika Taifa letu.
1. Shushushu ni nani, anafanya kazi wapi na kwa namna gani?
2. Usalama wa Taifa ni nani, majukumu yake ni yepi (specifically)?
3. Wawili hawa wanafanya kazi kwa kushirikiana au kila mtu ana bosi wake?
4. Wakikutana wawili hawa (either kwenye shughuli au mtaani), wanatambuanaje?
Naombeni ufahamu wakuu.
Asante.