johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 93,557
- 163,134
Hivi ni nani hasa tunaweza kumuita baba wa Demokrasia Kati ya Hawa wazee wetu Wawili hayati Mzee Mwinyi na Mzee Kikwete?
Mlale Unono 😀
Mlale Unono 😀
mzee mwinyi ndie aliyeruhusu vyombo binafsi vya habari baada ya report ya tume ya hasan diria, mzee mwinye nyie aliyeruhusu siasa za vyama vingi, mzee mwinyi ndie aliyeruhusu biashara huria, ngoja niishie hapo kwanzaHivi ni nani hasa tunaweza kumuita baba wa Demokrasia Kati ya Hawa wazee wetu Wawili hayati Mzee Mwinyi na Mzee Kikwete?
Mlale Unono 😀
Ni kweli Mzee Kikwete ndiye aliyemrithisha urais Shujaa MagufuliMwinyi alikuwa dhaifu alitawala gizani lakini alishindwa vibaya Mara kadhaa alivunja serikali
Kikwete the man of the people utawala wake mpaka leo utakumbukwa isingekuwa uhuni wa wazee wa CCM Mangula, Mkapa, Mkuchika na wasira and .com sasahv tungekuwa na serikali 3 na katiba Bora kabisa!!
kikwete alifukuza mawaziri 67 katika utawala wake, mwinyi alipewa nchi yenye siasa za ujamaa, nchi ili uende bukoba ilibidi uende kisumu entebe mutukura, nchi tuliofunga mikanda ya chuma, yeye ndio aliokata hizo nira za chuma tukamwita mzee rukra.Mwinyi alikuwa dhaifu alitawala gizani lakini alishindwa vibaya Mara kadhaa alivunja serikali
Kikwete the man of the people utawala wake mpaka leo utakumbukwa isingekuwa uhuni wa wazee wa CCM Mangula, Mkapa, Mkuchika na wasira and .com sasahv tungekuwa na serikali 3 na katiba Bora kabisa!!
Bahati mbaya Mzee mwinyi hakuwahi kuongoza nchi yenye vyama vingi, ila ni mzee mwenye busara.Hivi ni nani hasa tunaweza kumuita baba wa Demokrasia Kati ya Hawa wazee wetu Wawili hayati Mzee Mwinyi na Mzee Kikwete?
Mlale Unono 😀
Baba wa Demokrasia hapa Tanzania kwa kawaida anatambuliwa kuwa ni Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kwa sababu ya msingi wa demokrasia na utawala bora aliouweka tangu uhuru wa taifa hili. Hata hivyo, tunapowalinganisha Mzee Ali Hassan Mwinyi na Mzee Jakaya Mrisho Kikwete, wote wawili walichangia kwa njia tofauti:Hivi ni nani hasa tunaweza kumuita baba wa Demokrasia Kati ya Hawa wazee wetu Wawili hayati Mzee Mwinyi na Mzee Kikwete?
Mlale Unono 😀
Nyerere Hakuwahi Kuwa Na Demockasia Labda kama Hukuwepo Kwenye Utawala wake..Baba wa Demokrasia hapa Tanzania kwa kawaida anatambuliwa kuwa ni Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kwa sababu ya msingi wa demokrasia na utawala bora aliouweka tangu uhuru wa taifa hili. Hata hivyo, tunapowalinganisha Mzee Ali Hassan Mwinyi na Mzee Jakaya Mrisho Kikwete, wote wawili walichangia kwa njia tofauti:
1. Mzee Ali Hassan Mwinyi (1985-1995):
Anatajwa kuwa "mchochezi wa demokrasia" kwa kuongoza mchakato wa kuruhusu mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, hatua muhimu kuelekea demokrasia ya kisasa Tanzania.
Utawala wake ulifungua milango ya uhuru wa kujieleza na maendeleo ya kiuchumi kupitia sera za soko huria.
2. Mzee Jakaya Mrisho Kikwete (2005-2015):
Alisimamia ongezeko la uwazi katika siasa, kuimarisha vyombo vya habari, na uhuru wa kujieleza kwa kiwango kikubwa.
Utawala wake ulizingatia ustawi wa taasisi za kidemokrasia kama Bunge na mahakama.
Kwa hivyo, ingawa Mzee Mwinyi alianzisha mchakato wa vyama vingi, Mzee Kikwete alijitahidi kuimarisha taasisi hizo. Ikiwa swali linahusu nani alitoa mchango wa awali katika kuleta demokrasia ya kisasa, basi jibu ni Mzee Mwinyi.
Mwinyi ambaye wakati wa uwaziri wake alithubuku kujindoa kwa uchafu wa jeshi lakeHivi ni nani hasa tunaweza kumuita baba wa Demokrasia Kati ya Hawa wazee wetu Wawili hayati Mzee Mwinyi na Mzee Kikwete?
Mlale Unono 😀
Unamkumbuka Masumbuko Lamwai? 😀Bahati mbaya Mzee mwinyi hakuwahi kuongoza nchi yenye vyama vingi, ila ni mzee mwenye busara.
Nyerere?😀Baba wa Demokrasia hapa Tanzania kwa kawaida anatambuliwa kuwa ni Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kwa sababu ya msingi wa demokrasia na utawala bora aliouweka tangu uhuru wa taifa hili. Hata hivyo, tunapowalinganisha Mzee Ali Hassan Mwinyi na Mzee Jakaya Mrisho Kikwete, wote wawili walichangia kwa njia tofauti:
1. Mzee Ali Hassan Mwinyi (1985-1995):
Anatajwa kuwa "mchochezi wa demokrasia" kwa kuongoza mchakato wa kuruhusu mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, hatua muhimu kuelekea demokrasia ya kisasa Tanzania.
Utawala wake ulifungua milango ya uhuru wa kujieleza na maendeleo ya kiuchumi kupitia sera za soko huria.
2. Mzee Jakaya Mrisho Kikwete (2005-2015):
Alisimamia ongezeko la uwazi katika siasa, kuimarisha vyombo vya habari, na uhuru wa kujieleza kwa kiwango kikubwa.
Utawala wake ulizingatia ustawi wa taasisi za kidemokrasia kama Bunge na mahakama.
Kwa hivyo, ingawa Mzee Mwinyi alianzisha mchakato wa vyama vingi, Mzee Kikwete alijitahidi kuimarisha taasisi hizo. Ikiwa swali linahusu nani alitoa mchango wa awali katika kuleta demokrasia ya kisasa, basi jibu ni Mzee Mwinyi.
Mzee Mwinyi Kidogo ilikuwa ahueni lakini kwa Kikwete watu wengi waliumizwa au kudhalilishwa kwa sababu ya kukosoa au kuwa na mawazo mbadala !Hivi ni nani hasa tunaweza kumuita baba wa Demokrasia Kati ya Hawa wazee wetu Wawili hayati Mzee Mwinyi na Mzee Kikwete?
Mlale Unono 😀
sio vema kushindanisha mbingu na nchi!hao wote wawili ni mababa wa demokrasia,mmoja ni bamkubwa aliruhusu vyama vingi,ile 1992 ,mwingine ni mlezi wa wana,aliulea ipinzani。Hivi ni nani hasa tunaweza kumuita baba wa Demokrasia Kati ya Hawa wazee wetu Wawili hayati Mzee Mwinyi na Mzee Kikwete?
Mlale Unono 😀