Uhusiano na mwanamke "classy"

Uhusiano na mwanamke "classy"

Zinavunjika kila cku. Hata sasa hivi kuna ndoa ya mtu inavunjika. Msiwaone watu kwa nje wana raha. Humo ndani kwao ni jehanam. Furaha inapatukana popote pale, inategemea tu ya kwako ipo wapi

Safi sana! Kama vile yangu Mimi ipo kuleeee! Ahsante
 
Well, kabla ya yote napenda kusema naandika thread hii kwasababu ya mada nyingine iliyoanzishwa hapa MMU ikikosoa wanawake classy eti wao hawaolewi kwasababu ya tabia zao tofauti ambazo bila shaka zinawatisha hao wakosoaji.

Hapa swali la kwanza kujiuliza ni je,... ndoa/harusi ni moja ya priority ya mwanamke classy? Sasa hivi opinion kuhusu kuolewa na masuala yote ya ndoa yamebadilika sana na inaonyesha kadiri mwanamke anavyozidi ku-advance kielimu na kifedha hupendelea zaidi kupata kilicho bora na hapa huja suala la mwanaume yupi atamfaa na si mwanamme yoyote yule hata kama umri unaenda.

Kwani ndoa ni nini hata ionekane mwanamke fulani si mkamilifu kisa hana mume?

Huko katika maskani za watu maskini hasa mijini, wanawake classy husemwa vibaya kwasababu ya maisha waliyochagua. Wanasemwa hawaolewi kwasababu wanachagua saaaaana mwisho hujikuta umri umeenda. Lakini hao wanawake classy wao huwaza tofauti kabisa kuhusu dhana ya umri. Wao huwaoni umri kama kigezo cha kujitupa kwa mwanaume yoyote tu.

Nyie mnaopinga lifestyle ya wanawake classy hamuekewi kitu kimoja kuwa wanawake classy hutegemea mambo makubwa toka kwa mtu atakaye date naye. Hapa si pesa tu.......wanawake classy wanavutiwa pia na mwanaume anayeishi kibunifu sio mambo yale yale daily......its boring man.

Mwisho, kama unapenda kuwa na mwanamke classy acha kuwaza mabaya kuwahusu kwasababu haisaidii lolote.....jambo la msingi acha kuishi maisha kimazoea kuwa mbunifu kwasababu hapo ndipo chanzo cha attraction.....yani utakuwa na mvuto kwao si kulalamika na kuwatusi.

One Love.

Wanaume wengi wanawaogopa kwa sababu hawataweza kuwaendesha, na wengine wanawaogopa wanahisi hawatawakubali hivyo kujiridhisha kisaikolojia huishia kuwaponda ila actually wanawatamani wawapate.
Ni sawa na wanaume ambao wakiachwa wanaanza ooh yule malaya tu au sijui mbaya. Hicho ndo chanzo cha wanawake hao kusemwa vibaya, kutojiamini.
 
Katika imani ya dini ya kiislam,mwanamke wa kuoa anatakiwa kuwa na sifa zifutazo
1.Awe muumini safi wa di
2.Atoke ktk familia yenye hofu ya mungu
3.Nasaba yao isiwe na magonjwa ya kurithi km ukoma,kisukari etc
4.Awe anatoka ktk familia yenye nafasi kiuchumi
5.Awe bikra km inawezekana
Kwa sifa hizo na nyinginezo km tabia njema mwanamke huyo anastahili kuolewa,mambo hayo mengine km hao wanaojiita classy ni kuiga mila na tamaduni za kigeni,hizo c ktk tamaduni zetu,vipo vya kuiga km vzr lkn si kila kitu
Lkn pia ndoa ni heshima na ina thamani kubwa sana kwa mungu japo sisi binadamu hasa kizazi chetu wengi tunaichukulia poa tena pande zote mbili yaani ke na me,hatutaki kwa makusudi kutimiza wajibu wetu ipasavyo,matokeo yake ni migogoro na watu wengine kuishia kukata tamaa jambo ambalo c sahihi
 
Ukiona mtu anadai ndoa sio kipaumbele chake tizama iman yake
 
Idimi na data

Nikikutajia baadhi ya majina ya wanawake wa hapa Tz ambao nawaona ni "classy women" je utaelewa sifa zao?

Well, labda kati yao ni hawa.......Modesta Mahiga, Maria Sarungi na Irene Kiwia.

Vipi hapo umeng'amua lolote maana nimekueleza kuhusu Chimamanda and you don't seem to know her.

Binafsi namfahamu Modesta Lilian Mahiga kiasi Fulani, nimefanya nae kazi kwa muda. Ni Mrs. wa mtu na sidhani kama ana fit kwa sifa hizo
 
The only thing makes the so called classy to suffer the consequence of their life advancement is men inferiority! Unakuta mwanaume kapendwa toka moyoni ila kwa kuwa ako na insecurities kadha wa kadha zinazotokana na interaction baina ya classy na watu anaofanya nao kazi hasa wanaume...hvyo classy wanaeza olewa na mijanaume yenye kujiamini sana. Pia hao classy smtimes wako na tabia mbaya kujiinua kiasi hawawezi kuwa humble hvyo kupelekea wale wanaojitosa kuwa nao kushindwa as men lyk humble women!
Generally classy dadaz wanalack humility...ukijumlisha na men inferioty complex basi wanabaki single.
 
Mwanamke 'classy' ndio yukoje?
Mwanamke classy ni ambaye
-Anajiheshimu na kuheshimu wengine.
-Responsible for her actions and herself (anajitunza, anajipenda etc)
-Independent (uwepo usiwepo maisha kwake yanaenda tu)
-Smart ( unaweza ukaongea nae maswala ya siasa, technology, michezo, uchumi na mkaelewana because she tries to keep herself updated with current affairs.
-Confident (Anajitambua, hana wivu wa kitoto..)
-Ana lugha ya ukarimu/upole (hamna kelele na matusi kila saa)
-Fun and funny (huwezi kuboreka ukiwa naye)
-Mature (anajua kuhandle situations kama mtu mzima sio kulialia tu)
 
Asante sana Chielf.
 
Kwa hiyo wanawake wenye sifa hizo ndiyo hawaolewi?
 
Nilitegemea hilo swali......japo kwa upande mwingine ni rahisi kunielewa namzungumzia yupi.

Mwanamke "classy" ninayemzungumzia hapa ni yule aliyejijenga kielimu na kifedha na mwenye mtazamo wa hii kitu tunaita "feminism".

Mfano mzuri ni Chimamanda Ngozi Adiech. Huyu ni Nigerian author na feminist. Idea zake na lifestyle yake ina reflect mawazo yangu.

Je mmeelewa wadau wawili mlio uliza hapo mwanzo.

Unaposema Femism unamaanisha yale mambo ya haki sawa??? Kama Mama anapika basi baba akafue nguo?? Ndio unachomaanisha???
 
Back
Top Bottom