Uhusiano na mwanamke "classy"

Uhusiano na mwanamke "classy"

Kumbe kiwango elimu na mafanikio ya kimaisha ndio vinamfanya mwanamama kuwa classy.

Well, is Jokate a classy woman? Is Dr. Anna Tibaijuka a classy woman? Nao wamesoma pia wana mafanikio kimaisha.
 
Kumbe kiwango elimu na mafanikio ya kimaisha ndio vinamfanya mwanamama kuwa classy.

Well, is Jokate a classy woman? Is Dr. Anna Tibaijuka a classy woman? Nao wamesoma pia wana mafanikio kimaisha.

Nadhani jibu ni ndiyo......hao si wanawake wa hivi hivi tu.
 
Mna complicate maisha. Ndoa sio kila kitu. Furaha haipatikani kwenye ndoa peke yake. Na asikwambie mtu...wenye ndoa wana stress zaidi kuliko wasiokuwa nazo. Tukisema hapa walio kwenye ndoa na wana Furaha wanyooshe mikono, Kati ya Mia utapata watano.

Sikatai pia zipo ndoa ambazo wapo paradise.
Ni mtazamo tu.

Hizo ndoa zingekuwa hazivunjiki hapo sawa!
 
Hizo ndoa zingekuwa hazivunjiki hapo sawa!
Zinavunjika kila cku. Hata sasa hivi kuna ndoa ya mtu inavunjika. Msiwaone watu kwa nje wana raha. Humo ndani kwao ni jehanam. Furaha inapatukana popote pale, inategemea tu ya kwako ipo wapi
 
Mkuu Mwelewa, I guess wewe ni mwanamke ambae unajihisi ni ''classy'' !

naona you trying kujipa faraja na kujiweka kwenye comfort zone. Ofcoz I agree with you to some extent kwamba katika maisha kila mtu ana priorities zake regarding kimaendeleo ama kujipa furaha! LIFE has a lot of options. That's why kuna watu wanakaribia uzee bila kuoa/kuolewa and they are happy in their lives.

Na nilichokuja kujifunza mimi binafsi ni kwamba, katika Maisha... indicators za 'FURAHA' zina-vary from person to person.
 
Last edited by a moderator:
Nadhani jibu ni ndiyo......hao si wanawake wa hivi hivi tu.

mbona majibu yako yamekuwa "nadhani".,'labda'...huna uhakika?
Afu hao wanawake 'classy' wanasemwa vibaya kwenye maskani za watu 'maskini' tu!..,sio?
 
Sio kweli.....wanaume wengi huwaogopa na kuwahofia kwasababu wanaume hao wanajua hawana sifa za kuwa nao.
ukiwa na dushe na inafanya kazi una sifa yakutembea na yeyote,,,unadhana potofu we bint,,hakuna mwanaume ambae ha-qualify kutembea na mwananmke yeyote,,
 
Mkuu Mwelewa, I guess wewe ni mwanamke ambae unajihisi ni ''classy'' !

naona you trying kujipa faraja na kujiweka kwenye comfort zone. Ofcoz I agree with you to some extent kwamba katika maisha kila mtu ana priorities zake regarding kimaendeleo ama kujipa furaha! LIFE has a lot of options. That's why kuna watu wanakaribia uzee bila kuoa/kuolewa and they are happy in their lives.

Na nilichokuja kujifunza mimi binafsi ni kwamba, katika Maisha... indicators za 'FURAHA' zina-vary from person to person.

Mkuu Kayanda nitake radhi mimi sio mwanamke.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo, kama wanaume classy watakwisha, wanawake classy watapigwa dushelee na NANI
 
Mna complicate maisha. Ndoa sio kila kitu. Furaha haipatikani kwenye ndoa peke yake. Na asikwambie mtu...wenye ndoa wana stress zaidi kuliko wasiokuwa nazo. Tukisema hapa walio kwenye ndoa na wana Furaha wanyooshe mikono, Kati ya Mia utapata watano.

Sikatai pia zipo ndoa ambazo wapo paradise.
Ni mtazamo tu.
Wewe hio ndoa unayo??

Au bado iko kichwani haijadhihirika kwenye physical world
 
Mwelewa
umezungumzia swala la ubunifu so kote wanakopita hawakutani na wabunifu wakawaoa?

ni ubunifu gani unauzungumzia hapa? yaani km huyo wa nigeria yaani nchi yote hiyo haina watu wabunifu wakamuweka ndani?

mimi naona kuna mambo mengine ambayo hata wao hawayajui yanachangia wao kuishi maisha ya useja.

kupenda uzungu pia kunweza kuchangia. mkuu kuna watu wanapenda kuiga kuliko wanaoigwa walivyo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom