Uhusiano mwema ni hatua ya kukusogeza katika maendeleo

Uhusiano mwema ni hatua ya kukusogeza katika maendeleo

Mjusi Sharobalo

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2025
Posts
7,442
Reaction score
12,709
Sote tu wasafiri katika safari hii ya maisha. Kila mtu anabeba mzigo wake ambao huwezi kuuona. Hivyo, kuwa mpole na mwenye huruma daima.

Hiyo ndiyo dini ya kweli. Kumpenda mtu ni kujifunza wimbo ulio moyoni mwake na kumwimbia anapokuwa ameusahau.

Si kumbadilisha, bali kumkumbusha yeye ni nani. Hatukutani na watu kwa bahati mbaya.

Kila mtu anayekuja maishani mwako amekuja na somo, ama la kukujenga, kukuonya, au kukuonyesha jinsi unavyopaswa kuwa. Kabla ya kuhukumu, elewa. Kabla ya kuelewa, sikiliza.

Kabla ya kusikiliza, kuwa kimya. Hekima ya mahusiano huanzia kwenye masikio, sio mdomoni.

Mjusi sina baya.
 
Basi nitakua nilidanganywa nimeishi mpwapwa , na dom mjini kati, kwa mda mrefu ila niliwakwepa mabinti wa kigogo mno kunbe ni propaganda tu
Aiseee! Uliikataa pepo ya duniani kizembe bwashee, kumbuka wale bikira 72 peponi wa wale ndugu upande wa pili hawana ithibati, usitumainie hao ni bora ungekula maisha tu mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom