Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Salam kwenu wakuu, kwa wale wenzetu waislam naona sikukuu yenu iko safi kabisa huku familia zikiendelea kujumuika vyema na maakuli ya hapa na pale.
Kuna hivi vitu vitatu kuhusu waislam (hasa wanaume):-
1. Kufuga ndevu nyingi
2. Kuvaa makobazi au sandals au open shoes (zilizo-over size)
3. Kuvaa kanzu
Nini uhusiano wa dini ya kiislam na hivyo vitu vitatu hapo juu?
Ukiwa muislam ni lazima ufuge ndevu kama Osama Bin Laden?
Ukiwa muisalm ni lazima kuvaa sandals au open shoes au makobazi muda wote?