Uhusiano kati ya pombe na nyege

Uhusiano kati ya pombe na nyege

Pombe huondoa aibu hata mkweo mkiwa mmepombeka wote mkawa mazingira tata kidogo anaweza kuuchezea
 
Sizani kwa upande wangu hua ni tofauti nikiwa vyombo sina hamu ya Ngono hata sishituki
 
Sizani kwa upande wangu hua ni tofauti nikiwa vyombo sina hamu ya Ngono hata sishituki
Ulevi unaomaanishwa hapa sio ule wa kuzima!. Hapa tunaamisha kama ni safari piaga 5! Kama nyagi piga kasichana! Na kana hizi light beer piga kama 5-8!... wine piga chupa 1 inategemea na aina ya wine!!!
 
WAKUU NIMEWAHI KUSKIA MARA KADHAA KUWA MWANAMKE/MWANAUME AKIPIGA KILAJI (POMBE) HUWA ANAPATA ASHKI YA NGONO, JE HII INA UKWELI WOWOTE? KAMA INA UKWELI, JE NI NINI KINATOKEA AS A REACTION IN A BODY AMBACHO KINASABABISHA HALI HIYO?
Nijuavyo mimi kwanza inategemeana na aina ya pombe unayokunywa kwa kuwa kila pombe ina kemikali tofauti na nyingine na kila kemikali ina function tofauti na madhara tofauti.

Ni kweli pombe inaweza kuleta ashiki ya mapenzi.
Mosi,ashiki huamshwa na damu inayozunguka mwilini kwa stimulate tezi za oestrogens hormone sasa zipo baadhi ya pombe ambazo mtu akinywa zina amsha homorne mno na kupelekea hilo kutokana na kemikali zilizounda pombe hiyo .


Pombe haileti ashiki ya mapenzi.
Zipo pombe ambazo huziba mishipa ya uzazi kabisa hasa mataputapu na kulegeza via vya uzazi hivyo mtumiaji huwa hana mpango kabisa na mapenzi zaidi ya pombe.

Kuna maelezo ya kibailojia ktk hili ambayo ni ya ndani lakini yanajumuisha tezi za mwili wa binadamu na kazi zake hapo ndo utajua aina za kemikali na madhara yake na madawa ya kulevya yanavyoathiri mwili wa binadamu.
 
Back
Top Bottom