Tanganyikana
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 1,160
- 364
mshana jr Hiyo ya kujitakasa kabla ya ibada si ni Udhu?Bujibuji janaba haihusiani na kungonoka, janaba inahusika na kujitakasa kabla hujafanya ibada
Kinacholeta mkosi ni mtu mwenyewe kwakuwa kuna watu wanatembea na mikosi yao, hata uogee Jik na magadi Kama huyo mtu ana kimavi utaisoma
Ishu ya kuharibu mtoto inatokana na kuleta joto Jipya kwenye mwili wako tofauti na la mamake(hii ni mada ndefu)
Lakini pia tendo la ngono ni tendo la kinyama lenye MAHUSIANO ya moja kwa moja na shetani na kuzimu ndio maana linahusishwa saana na janaba
Last edited by a moderator: