Kuna uhusiano kati ya miti ya panga uzazi na mikosi?

ikisimama panda

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
2,547
1,869
Habari wadau,
Hivi kuna uhusiano wowote wa kisayansi ama kiimani kati ya hii miti ya panga uzazi na mikosi kwenye familia zilizopanda hii miti? Watu wanadai hii miti inapopandwa kwenye nyumba hua lazima "kichwa" wa familia afe baada ya muda fulani na hata asipokufa basi hiyo familia itakua na mivurugano na chuki zisizoisha. Binafsi siwezi ku prove hii kisayansi lakini kweli katika familia kama sita za watu ninaowafaham vizuri ambao wana hii miti kwao, either kichwa wa familia alifariki ama wana ugomvi usioisha.
Karibu mdau yeyote mwenye elimu juu ya hii kitu
 
imani potofu tu
za MATAPELI
 
Attachments

  • tmp-cam-995017942.jpg
    tmp-cam-995017942.jpg
    18.5 KB · Views: 222
Hahaa..

Hakuna hata kitu kimoja kilichoumbwa na Mungu ni kibaya.

Huo mti hauna kosa lolote, mtakuwa mnausingizia.

Vita vya kiroho vipo nafsini.. aonavyo mtu ndani yake ndivyo alivyo..

Unachokiamini ndio kinachotokea..
 
Sina uhakika ila niliwahi kuipanda kwangu siku mama yangu mzazi alipo kuja aliniambia inamabalaa niing'oe na mimi nikafata maagizi ya bi.mkubwa
 
Back
Top Bottom