Uhusiano kati ya Janaba na Mikosi

Uhusiano kati ya Janaba na Mikosi

Sielewi kuhusu JANABA...

lakini nina uwelwea kuhusu dhambi na mauti...

mauti means( Kufungua mlango kwa spirts ambazo zina connection moja kwa moja na vitu vingi vifuatavyo: magonjwa, umasikini, shida, balaa, mikosi, laana(generation curse), ndoa kuvunjika, ...mwisho(ultmately) KIFO)

that is the Law of Sin and Death!! IT can only be broken by another law " the Law of Spirit of Life...(Rom 8:1-)."
 
nilipata ajali na pikpik nilikua na hilo likitu sijaoga japo kila kitu umeshapangiwa lakini hilo likitu ni nuksi oga b4 hujateleza kwenye tiles via final destination
 
Me naamini kuwa si vizuri kutembea na janaba.Reason nnayoijua ni kuwa ule ni uchafu na pia hata katika vitabu vya dini imekatazwa.Kwa wanaojua vizuri wakija nadhani watatujuza.
 
Waislamu JANABA ni lazima uoge kwa maji na Dua juu hata kama ulitoka kwa mkeo pia usafishe Nguo,malazi haswaa(shahawa) na jasho lolote lililotoka wakati wa tendo.......

Majini na Mashetani huwa yanakuwa na uwezo wa kumwingia mwenye JANABA kirahisi zaidi kuliko asienalo almost 98 percent

kuna Pia baadhi ya WACHAWI hujiongezea/hupewa uchawi na Majini kwa sharti la kukaa na JANABA kwa Masiku 40...

Ukitoka katika zinaa Oga kwa maji mengi na Badili nguo....
 
Mimi mkuu sijajua maana ya janaba ila kwa mambo ya kiimani kuna connection kati ya kulala na mtu na kuwa na mikosi.

Kiimani ni kua mtu unapolala na mwanamke maana yake umekua mwili mmoja, mumeunganika katika ulimwengu wa kiroho. Watu wengi hua hatufualitii chanzo cha mabalaa katika maisha. Ulizia watu wengi wanakuambia toka nilale na mwanamke fulani mambo yangu hayanyooki kabisa, kila nifanyacho hakifanikiwi. Kwa hio kuna connection katika ulimwengu wa roho juu ya mikosi na kulala na mwanamke but sio wote.

Kama wewe ni muumini wa dini fuatilia sana mapepo ya wanawake hasa yanapotolewa then yakaulizwa yamefanya nini. Utasikia yanakua kwa wanawake makusudi ili kuaribu destiny za watu. Kuna wanawake ukiwaangalia tu from no where unavutwa kama sumaku. Sasa wanawake wenye hayo mapepo ukilala nae tu, tegemea mikosi.

Nachokifahamu kiimani ni hivyo kuna clear connection kati ya mikosi na kulala na mwanamke tena ishu sio kujiswafi baada ya tendo. Pengine ujiswafi katika ulimwengu wa roho pia.
 
Kweli kabisa wengi wetu hatujui kuwa hata kwa kupiga punyeto unakuwa unajiunganisha nafsi yako na yule mtu unayemuwazia kufanya nae tendo la ndoa
Mimi mkuu sijajua maana ya janaba ila kwa mambo ya kiimani kuna connection kati ya kulala na mtu na kuwa na mikosi. Kiimani ni kua mtu unapolala na mwanamke maana yake umekua mwili mmoja, mumeunganika katika ulimwengu wa kiroho. Watu wengi hua hatufualitii chanzo cha mabalaa katika maisha. Ulizia watu wengi wanakuambia toka nilale na mwanamke fulani mambo yangu hayanyooki kabisa, kila nifanyacho hakifanikiwi. Kwa hio kuna connection katika ulimwengu wa roho juu ya mikosi na kulala na mwanamke but sio wote.

Kama wewe ni muumini wa dini fuatilia sana mapepo ya wanawake hasa yanapotolewa then yakaulizwa yamefanya nini. Utasikia yanakua kwa wanawake makusudi ili kuaribu destiny za watu. Kuna wanawake ukiwaangalia tu from no where unavutwa kama sumaku. Sasa wanawake wenye hayo mapepo ukilala nae tu, tegemea mikosi. Nachokifahamu kiimani ni hivyo kuna clear connection kati ya mikosi na kulala na mwanamke tena ishu sio kujiswafi baada ya tendo. Pengine ujiswafi katika ulimwengu wa roho pia.
 
Huoni uhusiano wa kumbemenda mtoto na janaba. Ukitoka nje usibebe mtoto kama hujaoga.....
 
Najiuliza sipati jibu. Je Hii kitu janaba ambayo sijui kwa Kiingereza inaitwaje Ina uhusiano gani na mikosi.
Jamaa alitoka kufanya mapenzi gesti, hakuoga, alipofika kwake akajikuta Hana wallet ambayo ilikuwa na Pesa, kadi za bank, vitambulisho muhimu na kadi ya kura. Aliporudi gesti akakuta kile chum a wameshaingia wazinzi wengine.

Gilbiz alikuwa anamshughulikia Chausiku Kwenye Gari, walipomaliza hawakunawa wala kujiosha, alipopaki Gari akakuta limevunjwa kioo kidogo na kuibiwa vifaa Vya ndani.

Nasra alikamatwa na Polisi akinjunji Kwenye Gari, mvulana aliyekuwa naye alikurupuka na kukimbia akimwacha Nasra na msala. Manjagu walimkomba Nasra hela zote na kesho yake alipofika kazini ma auditor waligundua kuna procedures alikuwa hazifuati Mwajiri wake akamtimua.

Jamani Hivi haya Matukio Yanga connection yoyote na janaba au yametokea tu?
Wajuzi wa dini na taratibu za maisha ya kimahusiano naombeni maoni yenu
Bujibuji janaba haihusiani na kungonoka, janaba inahusika na kujitakasa kabla hujafanya ibada
Kinacholeta mkosi ni mtu mwenyewe kwakuwa kuna watu wanatembea na mikosi yao, hata uogee Jik na magadi Kama huyo mtu ana kimavi utaisoma
Ishu ya kuharibu mtoto inatokana na kuleta joto Jipya kwenye mwili wako tofauti na la mamake(hii ni mada ndefu)
Lakini pia tendo la ngono ni tendo la kinyama lenye MAHUSIANO ya moja kwa moja na shetani na kuzimu ndio maana linahusishwa saana na janaba
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom