Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,433
Najiuliza sipati jibu. Je Hii kitu janaba ambayo sijui kwa Kiingereza inaitwaje Ina uhusiano gani na mikosi.
Jamaa alitoka kufanya mapenzi gesti, hakuoga, alipofika kwake akajikuta Hana wallet ambayo ilikuwa na Pesa, kadi za bank, vitambulisho muhimu na kadi ya kura. Aliporudi gesti akakuta kile chum a wameshaingia wazinzi wengine.
Gilbiz alikuwa anamshughulikia Chausiku Kwenye Gari, walipomaliza hawakunawa wala kujiosha, alipopaki Gari akakuta limevunjwa kioo kidogo na kuibiwa vifaa Vya ndani.
Nasra alikamatwa na Polisi akinjunji Kwenye Gari, mvulana aliyekuwa naye alikurupuka na kukimbia akimwacha Nasra na msala. Manjagu walimkomba Nasra hela zote na kesho yake alipofika kazini ma auditor waligundua kuna procedures alikuwa hazifuati Mwajiri wake akamtimua.
Jamani Hivi haya Matukio Yanga connection yoyote na janaba au yametokea tu?
Wajuzi wa dini na taratibu za maisha ya kimahusiano naombeni maoni yenu

Last edited by a moderator: