Kilimo Tz kinalipa sana na mifano ipo hai bahati mbaya kama wewe ulipata hasara, hao wataalamu unao wapuuza ndiyo wanasema Kenya inasonga na Tz pia inasonga sasa kwanini hukatae waki sema vizuri Tz! Ndiyo maana nikakwambie ulete takwimu. Ninachojua Kenya inaongoza kwa kukumbwa na njaa kwa EA, inaongoza kwa ukosefu wa ajira, Miradi ambayo inachukua pesa nyingi na kuiingiza kwenye madeni yasiyo eleweka, kodi kubwa zinaongezwa ili kulipa madeni e.t.cNadhani kuna vitu vingine inafaa kuona kwa macho pia inasaidia na nitaangalia huko zaidi.Kuliko hizi Propaganda pamoja na majarida ya theory ya kiuchumi ambayo tunamezeshwa Watanzania kuaminishwa kwamba tunasonga.
Kenya wana kila kitu ambacho Tanzania tunajaribu kuwa nacho kwa sasa. Miundo mbinu ya Kenya Kuanzia Nairobi na miji mingine ni ndoto kwetu ya miaka 20. Mambo ya Ndege kwao Bandari na usafiri wa Umma sisi tunafuata.
Viwanda Kenya sio swala jipya wakati sisi tunafikiria Cherehani nne kama kiwanda. Biashara ya Kimataifa kuhusu Export nadhani unajua sisi tunachofanya hapa ni hakuna.
Kilimo Kenya mtu akilima au akifuga anaona kabisa maisha yakibadilika hapa tunaishia bei elekezi na kuzuia yasitoke.
Makaazi ya watu kuanzia Isibania mpaka Lunga Lunga au Namanga mpaka Isiolo ni tofauti na kwetu .
Elimu yetu wakati vitabu vinasema kazi ya kichwa ni kubeba mizigo huwezi kulinganisha ufahamu wa Darasa la nane Kenya na Form six wetu.
😂😂😂 idiot.
As of 2017 Tanzania is among 37 countries wenye deni Kubwa na hawajiwezi hata Kodogo. Swali ni what have you done with over $5 billions debt forgiven?? 😂😂 Hata project moja hakuna!
Factsheet - Debt Relief Under the Heavily Indebted Poor Countries (HIPC) Initiative
Kilimo Tz kinalipa sana na mifano ipo hai bahati mbaya kama wewe ulipata hasara, hao wataalamu unao wapuuza ndiyo wanasema Kenya inasonga na Tz pia inasonga sasa kwanini hukatae waki sema vizuri Tz! Ndiyo maana nikakwambie ulete takwimu. Ninachojua Kenya inaongoza kwa kukumbwa na njaa kwa EA, inaongoza kwa ukosefu wa ajira, Miradi ambayo inachukua pesa nyingi na kuiingiza kwenye madeni yasiyo eleweka, kodi kubwa zinaongezwa ili kulipa madeni e.t.c
Tz inaongoza kwa uchumi shirikishi Africa, chakula cha kutosha mpaka ku export. Matumizi mazuri ya pesa za miradi na miradi inayo tekelezeka. Nimejitahidi kukujibu kadri ya nafasi ilivyo tosha, ila mwisho siwezi kuku lazimisha uamini. Ila siku si nyingi vitu vitajiweka wazi
Wewe ni mgonjwa tena wa akili...karibu mathari hospitalUlivyo anza kwa kusema Kenya ina kila kitu ambacho Tz haina ukanichosha kuanza kuku jibu! Ila ngoja nijitahidi, Unaposema usafiri wa umma wakenya uko vizuri unathibitisha hujawahi kufika Nairobi, ata huko mashinani hamna utaratibu wa kueleweka. Tz kila mkoa unajengwa stand za bus zenye huduma zote za msingi kwa abiria,
Chakula Tanzania ni bei ya Chini kwa jasho na damu la wakulima. Yaani mkulima anazidi kuwa masikini kabisa bila matumaini kwa kumnyima soko halafu unafurahia beiIngekuwa kilimo hakifanikiwi bongo basi bei zingekuwa juu sana za chakula.. anayeelewa uchumi amenielewa..
Tanzania ni nchi ya mateso kupoteza muda na kuuwa vipaji.Ulivyo anza kwa kusema Kenya ina kila kitu ambacho Tz haina ukanichosha kuanza kuku jibu! Ila ngoja nijitahidi, Unaposema usafiri wa umma wakenya uko vizuri unathibitisha hujawahi kufika Nairobi, ata huko mashinani hamna utaratibu wa kueleweka. Tz kila mkoa unajengwa stand za bus zenye huduma zote za msingi kwa abiria,
Miradi yetu bubu ya kizalendo na kufikirika haitatusaidia tulivyoachiwa tu na mkoloni hatuwezi kuvitumia vinakufa bado tunapiga kelele ya kusongaKilimo Tz kinalipa sana na mifano ipo hai bahati mbaya kama wewe ulipata hasara, hao wataalamu unao wapuuza ndiyo wanasema Kenya inasonga na Tz pia inasonga sasa kwanini hukatae waki sema vizuri Tz! Ndiyo maana nikakwambie ulete takwimu. Ninachojua Kenya inaongoza kwa kukumbwa na njaa kwa EA, inaongoza kwa ukosefu wa ajira, Miradi ambayo inachukua pesa nyingi na kuiingiza kwenye madeni yasiyo eleweka, kodi kubwa zinaongezwa ili kulipa madeni e.t.c
Tz inaongoza kwa uchumi shirikishi Africa, chakula cha kutosha mpaka ku export. Matumizi mazuri ya pesa za miradi na miradi inayo tekelezeka. Nimejitahidi kukujibu kadri ya nafasi ilivyo tosha, ila mwisho siwezi kuku lazimisha uamini. Ila siku si nyingi vitu vitajiweka wazi
Jasho la damu! Ww jamaa unamatatizo binafsi na bila shaka haujui market forces zinavyo fanya kazi. Tatizo la wakulima wa Tz wengi ni small scale farmers ambao hawawezi ku enjoy economies of scale na mbinu wanazo tumia ni za kizamani. Wapo watu wanaofanya kilimo cha biashara na wanatoboa vizuri mno.Chakula Tanzania ni bei ya Chini kwa jasho na damu la wakulima. Yaani mkulima anazidi kuwa masikini kabisa bila matumaini kwa kumnyima soko halafu unafurahia bei
Acha porojo kama za Mwijage hakuna sehemu duniani mkulima anateseka kama Tanzania unalima kwa Nguvu zako bado unapata soko mtu anakunyima usiwauzie Wakenya.Jasho la damu! Ww jamaa unamatatizo binafsi na bila shaka haujui market forces zinavyo fanya kazi. Tatizo la wakulima wa Tz wengi ni small scale farmers ambao hawawezi ku enjoy economies of scale na mbinu wanazo tumia ni za kizamani. Wapo watu wanaofanya kilimo cha biashara na wanatoboa vizuri mno.
Yaani kwanza Nikupe tu poleNadhani kuna vitu vingine inafaa kuona kwa macho pia inasaidia na nitaangalia huko zaidi.Kuliko hizi Propaganda pamoja na majarida ya theory ya kiuchumi ambayo tunamezeshwa Watanzania kuaminishwa kwamba tunasonga.
Kenya wana kila kitu ambacho Tanzania tunajaribu kuwa nacho kwa sasa. Miundo mbinu ya Kenya Kuanzia Nairobi na miji mingine ni ndoto kwetu ya miaka 20. Mambo ya Ndege kwao Bandari na usafiri wa Umma sisi tunafuata.
Viwanda Kenya sio swala jipya wakati sisi tunafikiria Cherehani nne kama kiwanda. Biashara ya Kimataifa kuhusu Export nadhani unajua sisi tunachofanya hapa ni hakuna.
Kilimo Kenya mtu akilima au akifuga anaona kabisa maisha yakibadilika hapa tunaishia bei elekezi na kuzuia yasitoke.
Makaazi ya watu kuanzia Isibania mpaka Lunga Lunga au Namanga mpaka Isiolo ni tofauti na kwetu .
Elimu yetu wakati vitabu vinasema kazi ya kichwa ni kubeba mizigo huwezi kulinganisha ufahamu wa Darasa la nane Kenya na Form six wetu.
Ambacho tungeongea ni kama Reli ingekuwa mbovu lakini Train ambayo hata kesho inaweza kununuliwa nyingineIla kiukweli Mchina Mungu anamuona
Alicho wafanyia Wakenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Walikuwa na ndoto nzuri kilicho tokea
Hapa walikuwa wakiota Mchana
WORLD CLASS
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 917796Baada ya ndoto Matokeo yakeView attachment 917797
Duniani kote mass transport inahusisha watu kuwahishwa kufika wanapo kwenda, hiyo ndiyo priority. Kama lilivyo dhumuni la DaRT. Ata hivyo kwenye ma3 mbona watu wanajazana sana tu! nahisi wewe umehadithiwa habari za Nai tu. Kuweka screen kwenye kiti kwa safari ya za ndani ya jiji huo ni ushamba kama siyo ujinga. Kuhusu Kisumu - Nai kufika haraka na kurudi una maana ma bus yanayo tumika huko yana kimbia sana! Hapo sija kuelewa, ila ukiwa umeamua kuponda kitu tumiaga akili kidogo umbali wa Dar-Arusha ni mrefu kwa almost 100km na wa Nai-Kisumu au ungelinganisha na Dar-Bukoba ili ujifurahishe zaidiTanzania ni nchi ya mateso kupoteza muda na kuuwa vipaji.
Tuanze kwenye Matatu kila mtu anakaa vizuri na mziki plus tv. Hapa Tanzania kuanzia Dar es Salaam, Arusha, Mwanza usafiri wa Daladala ni kama Jehanam mnashindiliwa kama mnapelekwa kwenye Concentration camp za wakazi wa Nazis.
Njoo kwenye mabasi Kenya mtu anashinda Kisumu usiku anasafiri Asubuhi anafanya biashara Nairobi jioni anaondoka anaokoa gharama za muda na Hoteli. Tanzania itakuchukua siku nzima toka Arushahadi Dar itakubidi ulale na ukimaliza shuhuli huwezi kurudi inabidi ulale tena.
Una mfano wa mahali Kenya hali ni mbaya kuliko TanzaniaYaani kwanza Nikupe tu pole
Unaijua hiyo Kenya wewe!!
Hebu tembeeni msipende Kusikia au kuona vipicha vya ku Edit Unaanza kuweweseka
Nenda Kenya Kawaone Wakenya asili
utajua maisha yao vizuri sio kukalia porojo mitandaon
Huo niupumbavuAmbacho tungeongea ni kama Reli ingekuwa mbovu lakini Train ambayo hata kesho inaweza kununuliwa nyingine
Amesahau Kuwa Kenya+Uganda Bado Nafasi ipo kwa Tanzania kiukubwaDuniani kote mass transport inahusisha watu kuwahishwa kufika wanapo kwenda, hiyo ndiyo priority. Kama lilivyo dhumuni la DaRT. Ata hivyo kwenye ma3 mbona watu wanajazana sana tu! nahisi wewe umehadithiwa habari za Nai tu. Kuweka screen kwenye kiti kwa safari ya za ndani ya jiji huo ni ushamba kama siyo ujinga. Kuhusu Kisumu - Nai kufika haraka na kurudi una maana ma bus yanayo tumika huko yana kimbia sana! Hapo sija kuelewa, ila ukiwa umeamua kuponda kitu tumiaga akili kidogo umbali wa Dar-Arusha ni mrefu kwa almost 100km na wa Nai-Kisumu au ungelinganisha na Dar-Bukoba ili ujifurahishe zaidi
Huwezi kuelewa ni kwamba Wakenya wanasafiri usiku na Mchana hakuna kulala.Duniani kote mass transport inahusisha watu kuwahishwa kufika wanapo kwenda, hiyo ndiyo priority. Kama lilivyo dhumuni la DaRT. Ata hivyo kwenye ma3 mbona watu wanajazana sana tu! nahisi wewe umehadithiwa habari za Nai tu. Kuweka screen kwenye kiti kwa safari ya za ndani ya jiji huo ni ushamba kama siyo ujinga. Kuhusu Kisumu - Nai kufika haraka na kurudi una maana ma bus yanayo tumika huko yana kimbia sana! Hapo sija kuelewa, ila ukiwa umeamua kuponda kitu tumiaga akili kidogo umbali wa Dar-Arusha ni mrefu kwa almost 100km na wa Nai-Kisumu au ungelinganisha na Dar-Bukoba ili ujifurahishe zaidi
Duh!! Kwa hiyo wewe huijui Kenya halafu upo busy kuitetea!! Nenda google kaulize kama una roho ya huruma machozi yatakulenga.Una mfano wa mahali Kenya hali ni mbaya kuliko Tanzania
Wamekopa kutengeneza Reli au kununua Train ?Maana sisi tunajenga reli pia ambayo hatujui itapita ipi labda ya makaa ya mawe.Huo niupumbavu
Unajua nikiasi gn chapesa kilicho kopwa kutengenezwa kwa Mradi huo!!
Unatetea upuuzi
Wewe UnalakoUna mfano wa mahali Kenya hali ni mbaya kuliko Tanzania