Uhuru wa wachunguzi huru

mkuu naomba hints kidogo kuhusu hii shule maana sisi wengne ndo wadogo hatuelewi chochote
 
nadhani mtoa atakua ameambulia kitu hapa
 
Matapishi ndiio kama haya!

Kuukubali au kutoukubali uchunguzi uliofanyika hakutegemei yule anayechunguza analipwa na nani bali ni vielelezo vitakavyowekwa hadharani vinavyothibitisha bila shaka yoyote kwa walohusika na tukio hilo.

Ingekuwa utashi wa mtu au watu ndio unaoamua basi hata hakimu wa mahakama asingeweza kutoa adhabu kwa wavunjifu wa sheria.
 
We ndo hujatumia akili! anachomaanisha huo upelekezi ungekuwa huru kiasi gan kwa maana ungeweza kuegemea kwa upande uliowaleta na kuwalipa, ungeanza hapo kujadili



Nashangaa sana kuona chama chetu tawala kinakubali kutiwa doa la umwagaji wa damu ilihali wangwjisafisha kwa kupisha uchunguzi huru kutoka nje.
 
Ujanja wa mbuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…