Chibudee
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,775
- 2,400
Inasikitisha sanaa Serikali ya 5 kuipiga kibuti Media ya taifa je Ni media kutokuwa na Facts zenye mashiko Au ni hakisawa kwa wote Naa inafika mahala waandishi wanatumika kusifia tu bila kukosoa serikal kwa kigezo chakutaka sifa kwa mh rais ilimradi wakubalike na jamii Kunahaja gani na kuwa na media ya taifa kama haitumiki na serikal Uhuru wa kujaji na kuhoji umepokonywa na kuwekwa mfukoni kwa mapendekezo yangu clouds ingekuwa media ya taifa tbc Ikawa jumba la makumbusho la faru john