Uhuru wa kuongea umezidi, watu wanavuka mipaka

Uhuru wa kuongea umezidi, watu wanavuka mipaka

Tanganyika + Zanzibar =Tanzania
Tanzania kutoa Zanzibar = Tanzania Bara eti sio Tanganyika ?
Lakini Tanzania kutoa Tanzania Bara=Zanzibar na sio Tanzania Visiwani ?
Wanasiasa wamepotoka.
 
Yaani siamin ktk macho yangu hadi hii Leo tz ina Watu wenye akili ndogo na fupi kweli kweli Kama wewe mleta huu uzi....ni Hatari Sana kwa taifa.. Hufai kabisa wee kaa jitafakali Kama ni shida au njaa Vina kufanya hujitambuwi /pole Sana lakin mtihani makubwa we kiumbe Hufai kabisa [emoji2] [emoji16] [emoji15] [emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom