Uhuru wa kuongea umezidi, watu wanavuka mipaka

Uhuru wa kuongea umezidi, watu wanavuka mipaka

Unafiki na uzandiki umekujaa masuala yaowahusu watanzania unasema hayapaswi kujadiliwa hivi kweli unaakili wewe??Unajina zuri ila unamambo ya hovyo mwambieni magufuli akatubu
 
popoma kwani masheikh sio watanzania?
Kama unaelewa maana ya watanzania basi hata masheikh ni sehemu ya watanzania na inaeleweka kwamba hao masheikh wamefungwa kwa hila tu na ndio maana maaskofu hao wanasema kiongoz atubu kwa maovu anayowafanyia watanzania.Shida yenu nyinyi ndugu zetu ni kwamba kauli hizo zimesemwa na askofu wakati huo huo viongoz wenu wa kidini wanawatetea hao watesi wenu amkeni ndugu zetu adui yatu watanzania kwa ujumla ni CCM
 
ikiwa nyinyi ni wakweli mbona hamuongelei Kwenye madhabahu Kuhusu masheikh wa Zanzibar? nyinyi mna ajenda zenu wala msitake kufool watu hapa
on a ulivyo mjinga sasa kama wanaajenda zao ndo inaondoa were kudai haki za masheikh kwan kakobe anavyosema watu wasikamatwe kwa kumsema magufuli au kukosoa si ameinclude mpaka masheikh wote, hata ivyo kama nyie viongoz wenu kwenye ibada zenu hawaonyeshi kujali wala kusema kitu wao ni kusifia tu serikali mnategemea nn anzisheni kulia na wao watafata sasa nyinyi wenye msiba hamuliii wengine wataliaje sasa
 
Acha upumbavu wewee..

Huo Muungano ni wa kuku ndio watu wasiujadili??

Muungano ni wa WATU wa Tz Bara na Zanzibar unawazuia vipi watu kuujadili??

Gharama zilizotumika kuujenga huu Muungano ni Shilingi ngapi mpaka watu wazuiwe kuujadili??

Uhuru wa kujadili chochote kile umeruhusiwa hata na Katiba ya Nchi ndugu..

Make up your mind Dude.
 
Ustaadhjuma unaumwa sio bure! Shida ya waislam tumesoma koran pekee ndo maana mashekhe wamewekwa ndani bila sababu lakini ALHAD wa DSM na Muft anaifagilia kila uchao, yaan sisi ni mbumbumbu ktk kudai haqi hebu tazama wenzetu humu wanashangaa kwanini maaskofu hawawasemei mashekh waliowekwa ndani hivi kweli hatuoni kama tumepotea! Wewe mwenye msiba unachekelea pilau la mtesi na muuaji wa nduguyo afu unalalamika jiran yako hàkusaidii hivi kweli? Shida yetu waislam tunapenda vya bure hatupendi kazi ndo maana tunaitetea serikali akati inaumiza ndugu zetu! Ukitaka kujua jiulize ni kwanini serkal haithubutu kumweka askofu yeyote ndani pamoja na ukosoaji mkubwa kwa serikali? Yaani sisi unaweza kuta msikiti fulani virungu vya polisi vinatembea lakini msikiti mwingine wsnacheka na hawajali kisa wamepewa ubwabwa watu wamekunja tahiyatu wanachekache tu hebu itokee serkal ikapige watu virungu ktk kanisa lolote uone moto! Wenzetu wanajitambua sisi majungu yamezidi ngoja mashekhe wetu waendelee kuteswa akati akina muft, alhadi wakila bata
 
Ninavyojua ni Msahafu (Korani ) pekee ambayo haiwezi kuwekwa kwenye mjadala kwa kuwa kwa mujibu wa imani ya kiislam ni kitabu kilichoandikwa kwa maelekezo ya Allah!

Lakini hata Biblia inakosolewa na kufanyiwa marekebisho lakini cha ajabu ni kwamba kuna wanaCCM ambao wametukuza mambo yaliyoanzishwa na wanadamu wenzetu hawataki kabisa hata kusikia yakijadiliwa .
Inafikia mahali mtu akiyajadili au kukosoa anaitwa mhaini na hata asiyestahili kupata pumzi ya Mungu.
Hii ni dhambi kubwa sana.

Kakobe ameona mbali sana.

Na pia serikali ningeishauri tu kuwa iachane na kujibu hoja za Kakobe nje ya zile za msingi.
Mahubiri sijawahi kusikia yakijibiwa ndani au hata nje ya kanisa.
Kuisema serikali ni Kusema watu mana serikali ni watu.
Sasa tusije tukawaonyesha watu kuwa serikali ni likitu fulani undefined.
Serikali ni watu kwa hiyo wanadhambi na wanakosea kwa wazi ama kwa kificho kwa hiyo kuwakosoa iwe ndani au nje ya kanisa ni jambo la kawaida.

Hata Askofu Tutu kule S.A aliikosoa sana serikali ya makaburu lakini walikaa wakamwelewa kwa kuwa alichokuwa anawakosoa kilikua ni sawa . Alisimamia haki na kukosao uonevu wa serikali ya makaburu dhidi ya wapinzani wao ambao walibaguliwa.
Askofu Tutu alijua kuwa serikali ya makaburu ni watu na iko siku watamuelewa na kubadilika.
Leo hii dunia nzima inamtambua kwa mchango wake.

Viongozi wa dini ni vyema wakasema kwani iko siku wakubwa watawaelewa !
 
Hufikirii kbs wewe, hivi utamlazimishaje mtu kuungana? Zanzibar haiitwi Tanzania visiwani kwa nini? Unataka tuwe mbumbumbu wote? Muddassukka
 
Ni kifungu kipi cha katiba au hata cha sheria kinachokataza watu kuongelea masuala ya muungano?!

Ikiwa hata wakati wa mchakato wa katiba, ilikuwa ruhusa kujadili aina ya muungano tunaohitaji; who are you kuhoji hiyo haki ya Watanzania?
 
kwa hali iliofikia ni dhahir kuwa Uhuru wa kuongea (freedom of speech) umezidi kiasi kwamba watu wanaomgea watakalo!
Leo hii mpaka maswala ambayo hayatakiwi kuguswa kwa mfano muungano (serikali Tatu) kuna watu wanayasema hadharani tena Kwenye madhabahu je mh raisi hili hulioni?
Muungano umejengwa kwa gharama kubwa sana vipi leo hii watu wanadai Tanganyika mubashara na hatujasikia tamko la serikali kulaani kitendo hicho je wale wazanzibar wanakuwa Kwenye kundi gani ikiwa same case with different characters inashindwa kuweka ktk manzila ile ile ....Hawa waropokaji wanatakiwa wapate adhabu kama walioipata wale wengine!!
mh Uhuru wa kuongea umezidi sana usipowadhibiti mapema mwishowe watatukana
Faida ya kutubu ni kubwa kuliko ujeuri,maovu mengi yametendeka chini ya uongozi wake,maisha ni magumu na mbele ni giza nene.Alafu nashangaa hvi unaendeshaje nchi kubwa kama hii kwa kucopy na kupaste kwa kagame anayeongoza mkoa????Kiongoz huna priority, ni maajabu sana
 
Ustaadhjuma unaumwa sio bure! Shida ya waislam tumesoma koran pekee ndo maana mashekhe wamewekwa ndani bila sababu lakini ALHAD wa DSM na Muft anaifagilia kila uchao, yaan sisi ni mbumbumbu ktk kudai haqi hebu tazama wenzetu humu wanashangaa kwanini maaskofu hawawasemei mashekh waliowekwa ndani hivi kweli hatuoni kama tumepotea! Wewe mwenye msiba unachekelea pilau la mtesi na muuaji wa nduguyo afu unalalamika jiran yako hàkusaidii hivi kweli? Shida yetu waislam tunapenda vya bure hatupendi kazi ndo maana tunaitetea serikali akati inaumiza ndugu zetu! Ukitaka kujua jiulize ni kwanini serkal haithubutu kumweka askofu yeyote ndani pamoja na ukosoaji mkubwa kwa serikali? Yaani sisi unaweza kuta msikiti fulani virungu vya polisi vinatembea lakini msikiti mwingine wsnacheka na hawajali kisa wamepewa ubwabwa watu wamekunja tahiyatu wanachekache tu hebu itokee serkal ikapige watu virungu ktk kanisa lolote uone moto! Wenzetu wanajitambua sisi majungu yamezidi ngoja mashekhe wetu waendelee kuteswa akati akina muft, alhadi wakila bata
Acha kuingiza Uislamu kwenye ujinga wa mtu mmoja wewe!!

Kuna kundi la watu wanaohoji muungano Tanzania hii kulinganisha na Wazanzibari? Unataka kusema Wazanzibar ambao wapo msstari wa mbele kuhoji muungano ni Wakristo wale?
 
Kavue hirizi Kwanza, kisha ukatubu ndio uje kuandika upupu wako humu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
CCM mkatubu kwa unyama mnaowafanyia watanzania, mnajiona MNA hati miliki ya hii nchi
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Similar Discussions

Back
Top Bottom