King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,582
- 94,351
Kwenye mziki kuna kitu kinaitwa voice mark kinamata sana kwa sauti soul wanayo yao mwisho kabisa wanakiweka kwenye kila nyimbo katamu sana,treysong anayo yake ambayo hata mwana fa alijaribu kuiga,g unit walikua nayo,alikiba pia anayo yake ni yeah popin up, kazi yake ni kujitambulisha tu sio mbaya wakiweka hizo sauti bila kuimba
Rick Rozay na ..." Aghaaa"Sawa kabisa mkuu, ni kama Lil Jon na "Yeeaah!, Whaaat!" au Lamar na "This is Fishcrab cookout, the talk of the town...awwww!"
Umofia Kwenu wana JF,
Kumezuka tendency ya wasanii wa bongo kumshirikisha uhuru kwa sana,wasanii ambao wamemshirikisha uhuru ni madee,linah,mafikizolo etc,nikisikiliza hizo nyimbo hakuna sehemu aliyoimba zaidi ya kutamka jina lake tu basi na kuingiza katuni zake,au ndio kama zembwela alivyosema wa-tz sie watu wa ajabu,kaja msanii hata hajui kusema yaani bubu lakini kapiga hela kwa ababababaabaaaaa babaaaaaa,sasa huyu uhuru wa uyuyuyaaaaaa achupuchaaaaaaaa ni kitu gani alichowaroga wana bongo flavor?
Umofia Kwenu wana JF,
Kumezuka tendency ya wasanii wa bongo kumshirikisha uhuru kwa sana,wasanii ambao wamemshirikisha uhuru ni madee,linah,mafikizolo etc,nikisikiliza hizo nyimbo hakuna sehemu aliyoimba zaidi ya kutamka jina lake tu basi na kuingiza katuni zake,
au ndio kama zembwela alivyosema wa-tz sie watu wa ajabu, kaja msanii hata hajui kusema yaani bubu lakini kapiga hela kwa ababababaabaaaaa babaaaaaa,sasa huyu uhuru wa uyuyuyaaaaaa achupuchaaaaaaaa ni kitu gani alichowaroga wana bongo flavor?
Uhuru yuko vizuri....skiliza nyimbo mpya ya Madee na ya Chege na temba alafu uniambie. Ila jamaa mabiti yake yote kama yanafanana? Au maskio yangu?
Unamjua mtu anaitwa DJ Khaled?