Uhuru siyo kama marais wengine Afrika Mashariki, oneni

sixgates

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
3,979
Reaction score
1,667
Imekuwa ni tabia ya Uhuru Kenyatta rais wa Kenya kuishi maisha ambayo sio yaliozoeleka kwa viongozi wengine wa Africa..kwa sasa ni rais anaetembea na msafara mdogo sana kuliko wote E Africa pmoja na tishio la ugaidi kenya. Na wiki mbili zilizopita amekutwa akiwa na gari Moja na security details wanne akielekea hotelini kwenye kikao cha kifamilia, na alipo kuwa kwene trafic lights alimsalimia police, na watu wengine.

KIBOKO ni hii.
Jana amekuja tanzania kupitia Boda ya Namanga arusha na magari yasiyozidi nane (mengine ni ya serikali ya tanzania yaliyoenda kumpokea) na amesema baada ya kufungua bunge la Africa mashariki atarudi kenya kupitia boda ya Taveta ipo kilimanjaro rombo.

Ikumbukwe majuzi juzi rais huyu amejiondolea mshahara wake zaidi ya 20% na amewataka viongozi wa nyadhifa serikalini wapunguziwe 20%.

Ikumbukwe huyu rais hapendi kuzurura nchi za watu anaamini uchumi wa kenya sio yeye peke yake anaweza kuuinua ndio maana kadeligate power kwa waziri wa mashauriano ya kigeni..ana nguvu sana.

Lipo la kujifunza. Kenyatta sio limbukeni pengine ni kwa sababu ni mtoto wa aliekuwa rais wa kenya. Sijui but the guy ni gentleman hata uwezo wa kumanage diplomasia za nchi hizi masikini Tanzania, uganda, rwanda,burundi na kongo anaweza. Hana adui wa kudumu, hana rafiki wa kudumu. Ana maslahi ya kudumu.
 
Ni vema na Rais wetu akawa hivyo lakini too late ngoja tuone hiyo awamu ya tano!
 
Imekuwa ni tabia ya Uhuru Kenyatta rais wa Kenya kuishi maisha ambayo sio yaliozoeleka kwa viongozi wengine wa Africa..kwa sasa ni rais anaetembea na msafara mdogo sana kuliko wote E Africa pmoja na tishio la ugaidi kenya. Na wiki mbili zilizopita amekutwa akiwa na gari Moja na security details wanne akielekea hotelini kwenye kikao cha kifamilia, na alipo kuwa kwene trafic lights alimsalimia police, na watu wengine.

KIBOKO ni hii.
Jana amekuja tanzania kupitia Boda ya Namanga arusha na magari yasiyozidi nane, na amesema baada ya kufungua bunge la Africa mashariki atarudi kenya kupitia boda ya Taveta ipo kilimanjaro rombo.

Ikumbukwe majuzi juzi rais huyu amejiondolea mshahara wake zaidi ya 20% na amewataka viongozi wa nyadhifa serikalini wapunguziwe 20%.

Ikumbukwe huyu rais hapendi kuzurura nchi za watu anaamini uchumi wa kenya sio yeye peke yake anaweza kuuinua ndio maana kadeligate power kwa waziri wa mashauriano ya kigeni..ana nguvu sana.

Lipo la kujifunza. Kenyatta sio limbukeni pengine ni kwa sababu ni mtoto wa aliekuwa rais wa kenya. Sijui but the guy ni gentleman hata uwezo wa kumanage diplomasia za nchi hizi masikini Tanzania, uganda, rwanda,burundi na kongo anaweza. Hana adui wa kudumu, hana rafiki wa kudumu. Ana maslahi ya kudumu.
 
ImageUploadedByJamiiForums1395731275.347442.jpg
Hapo vipi? Toa maoni yako!

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Hiki ndicho kizazi kinachohitajika Afrika wa sasa. Viongozi wengi wa Afrika wamekuwa wakiiga maisha ya viongozi wa Nchi zilizoendelea na kuishia kufilisi nchi zao. Wewe unakua Rais unaunda baraza la mawaziri 58 unaanzisha shule ya mawaziri? Unakuwa na msafara wa magari zaidi ya 20 wewe marehemu? Mambo ya ajabu sana. Unakuwa na waziri wa Mambo ya nchi lakini wewe unasafiri kuliko hata waziri wa mambo ya nje, si mtu ajitangaze tu kuwa ni rais na pia ni waziri wa mambo ya nje?
 
Nchi zilizoendelea waziri wa mambo ya nje anaheshimika na anapewa hadhi.
 
Alafu jamaa yuko simple sana. Subir vijana wa Lumumba watakuja na povu hapa sasa hivi
 
A plane was about to crash and
there were only four parachutes on
the plane. Meanwhile there were
five people on it. The first person,
Lionel Messi, said, "I'm the world's
best footballer right now, I cant die
now!"
So he took one of the parachutes
and left. The second person, Bill
Gates, said, "I'm the richest man on
Earth, I can't die now, I'm needed in
the world!"
So he took the second parachute
and left. The third was the
Tanzanian President and he said,
"I'm the smartest President in the
world, so I cant die now, my people
still need me!"
So he took one and left.
Then it was left with the Pope and a
little school girl. The Pope said to
the little girl, "Take the last one, I'll
sacrifice my life for you."
The little girl replied, "No need for
that, There are two parachutes left."
The pope asked her, "How come?"
The little girl replied, "The
Tanzanian .......... took my school
bag." Ndio Huyu wa kwetu???
 
Tanzanian President took my school
bag." Ndio Huyu wa kwetu???

Mkuuu nimecheka, almost break ma ribbs hahahahahahahaaaa
 
Imekuwa ni tabia ya Uhuru Kenyatta rais wa Kenya kuishi maisha ambayo sio yaliozoeleka kwa viongozi wengine wa Africa..kwa sasa ni rais anaetembea na msafara mdogo sana kuliko wote E Africa pmoja na tishio la ugaidi kenya. Na wiki mbili zilizopita amekutwa akiwa na gari Moja na security details wanne akielekea hotelini kwenye kikao cha kifamilia, na alipo kuwa kwene trafic lights alimsalimia police, na watu wengine.

KIBOKO ni hii.
Jana amekuja tanzania kupitia Boda ya Namanga arusha na magari yasiyozidi nane, na amesema baada ya kufungua bunge la Africa mashariki atarudi kenya kupitia boda ya Taveta ipo kilimanjaro rombo.

Ikumbukwe majuzi juzi rais huyu amejiondolea mshahara wake zaidi ya 20% na amewataka viongozi wa nyadhifa serikalini wapunguziwe 20%.

Ikumbukwe huyu rais hapendi kuzurura nchi za watu anaamini uchumi wa kenya sio yeye peke yake anaweza kuuinua ndio maana kadeligate power kwa waziri wa mashauriano ya kigeni..ana nguvu sana.

Lipo la kujifunza. Kenyatta sio limbukeni pengine ni kwa sababu ni mtoto wa aliekuwa rais wa kenya. Sijui but the guy ni gentleman hata uwezo wa kumanage diplomasia za nchi hizi masikini Tanzania, uganda, rwanda,burundi na kongo anaweza. Hana adui wa kudumu, hana rafiki wa kudumu. Ana maslahi ya kudumu.
na wewe umefumbwa macho na huyo fisadi kushusha 20% ya mshahara wake ili msioji ardhi aliyopora, na unajua kwa siku hiyo ardhi ambayo ndo uchumi wenyewe inamuingizia mshahara wake mara ngapi? jifunze kupembua pumba na mchele usiishi kwa kulishwa mamneno tumia mda wako vizuri kujifunza kijana usibweteke.
 
Hiki ndicho kizazi kinachohitajika Afrika wa sasa. Viongozi wengi wa Afrika wamekuwa wakiiga maisha ya viongozi wa Nchi zilizoendelea na kuishia kufilisi nchi zao. Wewe unakua Rais unaunda baraza la mawaziri 58 unaanzisha shule ya mawaziri? Unakuwa na msafara wa magari zaidi ya 20 wewe marehemu? Mambo ya ajabu sana. Unakuwa na waziri wa Mambo ya nchi lakini wewe unasafiri kuliko hata waziri wa mambo ya nje, si mtu ajitangaze tu kuwa ni rais na pia ni waziri wa mambo ya nje?

Hapo penye red mbavu sina...juzi juzi nimemwona Mkuu wa mkoa anatembelea wilaya zake eti nae anasafiri na msafara wa magari 12 lakini sikumshangaa sana kwani katika mkoa huo huo mwaka jana nilimwona waziri mkuu Mr Pinda akiwa na msafara ambao nilihesabu magari mpaka nikachoka/nikapoteza channel na kusogea mbali ya barabara kwani vumbi lilizidi huku magari yakiwa hayaishi kupita
 
Alafu jamaa yuko simple sana. Subir vijana wa Lumumba watakuja na povu hapa sasa hivi
vijana wa ufipa simulipeleka jeshi la ardhini kumnadi Odinga!!! na kulikoni leo hii huyu mnamuona tunu wakati mnapiga vita Ridh1 kugombea charinze? au kenya mtoto wa rais kugombea ruksa ila tanzania hamtaki! hili ndo linafanya muonekane kwa jamii kuwa wala hamjui munafanya nini na tatizo ni viroba ambavyo babu yenu anaviabudu.
 
Nimeanza kumkubali uhuru kinyata taratibu,
juzi alionekana mtaani akiwa peke yake ananunua karanga kwa mtoto mmoja aliyekuwa anauza karanga akampa 2000 hata hakudai chenchi
sasa ameonekana arusha bla shamrashamra yeyote bg up kenyata
 
Imekuwa ni tabia ya Uhuru Kenyatta rais wa Kenya kuishi maisha ambayo sio yaliozoeleka kwa viongozi wengine wa Africa..kwa sasa ni rais anaetembea na msafara mdogo sana kuliko wote E Africa pmoja na tishio la ugaidi kenya. Na wiki mbili zilizopita amekutwa akiwa na gari Moja na security details wanne akielekea hotelini kwenye kikao cha kifamilia, na alipo kuwa kwene trafic lights alimsalimia police, na watu wengine.

KIBOKO ni hii.
Jana amekuja tanzania kupitia Boda ya Namanga arusha na magari yasiyozidi nane, na amesema baada ya kufungua bunge la Africa mashariki atarudi kenya kupitia boda ya Taveta ipo kilimanjaro rombo.

Ikumbukwe majuzi juzi rais huyu amejiondolea mshahara wake zaidi ya 20% na amewataka viongozi wa nyadhifa serikalini wapunguziwe 20%.

Ikumbukwe huyu rais hapendi kuzurura nchi za watu anaamini uchumi wa kenya sio yeye peke yake anaweza kuuinua ndio maana kadeligate power kwa waziri wa mashauriano ya kigeni..ana nguvu sana.

Lipo la kujifunza. Kenyatta sio limbukeni pengine ni kwa sababu ni mtoto wa aliekuwa rais wa kenya. Sijui but the guy ni gentleman hata uwezo wa kumanage diplomasia za nchi hizi masikini Tanzania, uganda, rwanda,burundi na kongo anaweza. Hana adui wa kudumu, hana rafiki wa kudumu. Ana maslahi ya kudumu.

Nilitegemea ashushe mshahara wake sababu sioni kama ulikuwa ni hitaji muhimu labda kwa matumizi extra,the man is among 50 billionaires in Africa.. haijalishi anasafiri na magari mangapi toka sehemu moja kwenda nyingine kuna siri kubwa katika usalama wa maraisi,magari machache lakini gharama zinazotumika katika usalama yaweza kuwa ni mara mbili ya misafara kama yakwetu..Asante and Bravoo Kenyatta, he is among of my favorite leaders in Africa
 
na wewe umefumbwa macho na huyo fisadi kushusha 20% ya mshahara wake ili msioji ardhi aliyopora, na unajua kwa siku hiyo ardhi ambayo ndo uchumi wenyewe inamuingizia mshahara wake mara ngapi? jifunze kupembua pumba na mchele usiishi kwa kulishwa mamneno tumia mda wako vizuri kujifunza kijana usibweteke.

Uhuru hajawahi kupora ardhi ya mtu, hajawahi kujiongezea ardhi zaidi ya ile aliyorithi kwa baba yake. Na kila mwana ana haki kidini, kimila na kisheria kurithi mali au sehemu ya mali anapofariki baba/mazazi.
 
Back
Top Bottom