Hawa viumbe sio wa kuwaamini maana hawaeleweki unaweza mpa uhuru bado yakawa majanga
....toa uhuru uitwe boya!!!!
Yani ufanye fasta ukuje tu, unavyochelewa ndo unazidi kujichelewesha kupokea muujiza wako mpendwa.
wanabahati kwa kweliha! ha! ha! et nyuma nyuma kama kalio! . mwanaume wa kweli lazima achunge mzigo wake ingawa trust ndio kila kitu , pia baadhi ya wanawake hupenda kuona mume au mpenzi wake anamfuatilia .
Kufuatilia kuna raha yake ila iwe kidogo
Binafsi hata nijue kuna jamaa anamfuatilia Manzi wangu, wala sihangaikagi. It's all about trust. If she gives any reason to feel insecure, i'll just breeze. I know the name of the game.
Binafsi hata nijue kuna jamaa anamfuatilia Manzi wangu, wala sihangaikagi. It's all about trust. If she gives any reason to feel insecure, i'll just breeze. I know the name of the game.
wengine tunafuatiliwa mapaka shida
Ndoa ni makubaliano na sio mmoja kudhani anamamlaka zaidi ya mwingine. inakubalika familia kuwa na kiongozi kwa maana ya baba anaweza kuwa kiongozi wa familia.
lakini kuwa kiongozi huku hakuna maana ya kwamba mwanaume akachepuke lakini mwanamke haruhusiwi kuchepuka na akikamatwa ni kosa kubwa sana.
kama nilivyosema kuwa ndoa ni makubaliano, yawezekana hata wewe hukupanga kuchepuka lakini ghafla unakutana na mtu anateka hisia zako na unajikuta umemsaliti ingawa hukupanga kabla kuwa nataka kumsaliti. kama hayo yanatokea kwa wanaume basi ijulikane hata kwa wanawake yanawatokea.
hivyo kama unataka kumfuatilia mwananmke kwa kigezo cha hali kuwa mbaya basi ukubali na wewe akufuatilie. kama unataka kukagua simu yake basi uwe tayari na wewe kukaguliwa simu yako na huo ndio uhuru. mnakubaliana ni utaratibu gani mtumie.
mkiamua kufunga mikanda ni nyote na sio wewe kudhani unaweza kufanya lolote hakuna shida ila yeye unampangia cha kufanya.
sawa mkuuEither naonekana suspicious ndio maana unafatiliwa miss chagga,au lbda una tourism attraction mwilini mwako kwa mtu uliyenaye anaogopa fedhea za kugongewa... Ni jambo la heri kutokuweka guards down na kuendelea kuimarisha ulinzi usije ukamchafua! Jaribu kujenga mazingira ya yatakayo punguza kasi ya we kufwatiliwa!
Habari wana jf,
Kwa mara kadhaa huwa nmeskia kwamba ni vizuri kumpa uhuru mpenzi wako hasa wa kike kwa maana tupunguze kuwafuatilia,tuwe majentromeni maana kum trace ni kuonyesha udhaifu na wivu na upungufu wa kumuamini eti.
Uhuru kwa mwanamke unakuja kwa namna mbili. Namna ya kwanza ni pale mwanamke anakuwa na uhuru wa kufanya mambo yake pa si kuingiliwa, kufwatiliwa au kuwa limited. Mfano,kama ni biashara, unampatia uhuru wa kufanya atakavyo.
Uhuru wa pili ni katika mahusiano. Ikumbukwe kuwa WIVU ni sehemu ya mapenzi. Kama huna wivu na mpenzi wako basi humpendi. Lakini wivu huu ukizidi sana ni kero. Ukimpatia uhuru mpenzi wako kufanya maamuzi katika mahusiano ndio uaminifu unashamiri. Mfano, ukimwamini mpenzi wako kiasi kwamba hata ukipata simu yake huwezi kuichokora ndani kuangalia out/in calls ama ujumbe basi unamwamini. Lakini kila jambo comes with a price, siwezi kumwamini mtu ambaye haniamini. I mean trust is a two way traffic. E&O.E
Kumuamini mwanamke ni rahisi sana na ni ngumu pia...Katika hali ya kawaida mwanamke alivyo na anavyojiweka kwako ndio itakujengea imani,Tukumbuke imani tunayoitafuta kimapenzi ni hali ya kukubalika katika upekee wa kwamba asione mwingine zaidi yako wewe ama asifikirie kuwa na mwingine badala yako! Sasa kama yoyote kat yenu anaonyesha dalili za kukiuka hili swala unamuaminije mkuu!?
Paulo Sergio De Souz Ngoja utapolizwa na huyo jamaa ndio utatia akili kwamba is all about trust ama neneee,Aliesema "Never trust a woman" in all senses alikuwa na sababu yenye mashiko!
Haha. Kulizwa ni sehemu ya maisha. Ikitokea nitaumia kwa muda, halafu nitajiongeza aliponizidi.
mkuu ego mi sinaga hiyana na kwa wale wenzangu tusio na hiyana nawawakilisha,tatizo ni hawa wanamama kukubalisha uvishike hivyo visemeo vyao ni mpaka mkabane mara nyingine kwanza lazma adilit uchafu uliopo mle ndio ajidai kukukabidhisha...Hasa hapa uoni kwamba ni tatizo mkuu,mnaeza kukubaliana ila kuna siku kutakuwa na ugumu wa wewe kuipewa hiyo simu mpk utajiuliza huyu vipii ila yako kashaipekua apo!
Uhuru wa kizezeta kama huu hauna maana yoyote. Mimi nitamtrace kama kawaida na nikihisi harufu mbaya lazima nijitahidi kujua inatokea wapi?Habari wana jf,
Kwa mara kadhaa huwa nmeskia kwamba ni vizuri kumpa uhuru mpenzi wako hasa wa kike kwa maana tupunguze kuwafuatilia,tuwe majentromeni maana kum trace ni kuonyesha udhaifu na wivu na upungufu wa kumuamini eti.
Kwa mantiki hii unakuta mtu huyo huyo atakaepewa uhuru baada ya muda anaweza kuanza kukuchezea rafu na dharau juu sasa huwa inatatiza sana, labda tueleweshane huu uhuru unaotakiwa tuwape ni kwamba mnastahili au tuendelee kuwafwatilia nyendo zenu mda wote ukizingatia majanga ni mengi siku hizi!
Haaa Khantwe,hebu imagine mpenzi wako yupo busy na simu hata hatulii mda wote anaikokotola hata ukiwa nae.Ukiwa mbali nae lbda upo kazini wala hakuwazii kukutext mara moja au mbili na thread inakuwa fupi tu...Unajizuiaje kumfuatilia mtu wa hivi?
Pengine huna mazoea ya kushika simu yake ila ikatokea siku umeishika ukakuta kuna ----- anamtongoza na anabembeleza kichiz walau apate cha huruma tu na yeye hajawahi kukutamkia kwamba kuna mtu anamsumbua..Unajizuiaje kumfatilia kwa mpango huu??
Kumuamini mwanamke ni rahisi sana na ni ngumu pia...Katika hali ya kawaida mwanamke alivyo na anavyojiweka kwako ndio itakujengea imani,Tukumbuke imani tunayoitafuta kimapenzi ni hali ya kukubalika katika upekee wa kwamba asione mwingine zaidi yako wewe ama asifikirie kuwa na mwingine badala yako! Sasa kama yoyote kat yenu anaonyesha dalili za kukiuka hili swala unamuaminije mkuu!?
The first impression is always the last. Kama mfano utakopa hela, ukodi gari, umpeleke 5star hotel mchumba wako siku za kwanza za uchumba wenu halafu baada ya mkopo kuisha unataka kumpeleka kwa mama ntilie! Mwanamke anakwambia ni bikira, kumbe nyumbani ameacha mtoto mdogo! Uaminifu utakuwepo? Nitarudia tena na tena kuwa, ANY R/SHIP FORMED AS A RESULT OF LIES IS BOUND TO BREAK,(where 4 gud or bad) na hata kama itadumu, uaminifu hautakuwepo. Trust me, I am telling u out of experience. It took me 2 yrs 2 gain her trust. Thank God she understood.