Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,422
- 5,596
Kufuatilia kuna raha yake ila iwe kidogo
na asipokufuatilia kabsa ata kidogo, unakuwa unafeel aje?
Binafsi hata nijue kuna jamaa anamfuatilia Manzi wangu, wala sihangaikagi. It's all about trust. If she gives any reason to feel insecure, i'll just breeze. I know the name of the game.
Mi mpnz wangu nisipomfuatilia anahisi kuwa simpendi..Utamsikia " baby mbona siku hizi huna habari na mm??..una mchepuko nn??..So mi namfwatilia 24/7 ili mambo yangu ya pembeni yaende sawa
Duh boss, mbona unajipa kazi nyingi hivyo!???
do kufuatiliwa kwa kiasi lakini si unifuatilie kila saa upo wapi? unaongea na nani? aiii inachosha ukiona vipi vipi ndiyo uniulize lakin si kila saa upo nyuma nyuma kama kalio loh
ha ha ha kasoro mimi tulazima ufuatiliwe wanawake wenyewe wa siku hizi nyinyi matatizo sana
do kufuatiliwa kwa kiasi lakini si unifuatilie kila saa upo wapi? unaongea na nani? aiii inachosha ukiona vipi vipi ndiyo uniulize lakin si kila saa upo nyuma nyuma kama kalio loh
wengine tunafuatiliwa mapaka shidahahahahahahahah eti kama kalio umenishindwa we mwanamke hahah nmecheka sana ila kweli ila jamn mi napenda saana kufatiliwa ila wa kunifatilia ndo sina hana hata huo mda mpka itokee akuulize ni ya kuhesabu
TRUST!???
Did you just use that word in reference to a female species!???
Habari wana jf,
Kwa mara kadhaa huwa nmeskia kwamba ni vizuri kumpa uhuru mpenzi wako hasa wa kike kwa maana tupunguze kuwafuatilia,tuwe majentromeni maana kum trace ni kuonyesha udhaifu na wivu na upungufu wa kumuamini eti.
Kwa mantiki hii unakuta mtu huyo huyo atakaepewa uhuru baada ya muda anaweza kuanza kukuchezea rafu na dharau juu sasa huwa inatatiza sana, labda tueleweshane huu uhuru unaotakiwa tuwape ni kwamba mnastahili au tuendelee kuwafwatilia nyendo zenu mda wote ukizingatia majanga ni mengi siku hizi!