Uhuru Kenyatta: Serikali nyingi Afrika zinajiendesha kwa kukomoa matajiri

Msijifungie milango na kuanza kushusha kipondo kwa watoto wenu, mnajigamba kabisa eti musituingilie tunapiga wakwetu!

Nyambafu wewe chunga sana usijikwae utang'oka kidole.
Hahaha ustaarabu zero. Matusi ya nini sasa leta hoja. Matusi ni dalili ya kukosa hoja.
 
Hii ndio faida ya kuzaliwa na baba mwenye akili, me mwenyewe namlaumu mzee kwa vi acre 300 pale bagamoyo kwa nini hakusomba zaidi. Cha mjinga uliwa na mwelevu.
Ndio maana vita na kuuana kila wakati sababu ya mambo haya. Na huenda ekari zako hizo zikapunguzwa. Kila raia anahaki ya kuishi na kumilki ardhi. Siyo kutumia cheo kuwanyonya wengine. Cheo ni dhamana.
 
Ameyasema hayo kwa manufaa ya familia yake na watoto wake.

1. The extended Kenyatta family alone owns an estimated 500,000 acres of land in Kenya.

2. The Kenyatta family also owns 24, 000 acres in Taveta sub-district (adjacent to the 74, 000 acres owned by former MP Basil Criticos).

3. Others are 50, 000 acres in Taita that is currently under Mrs Beth Mugo, Minister for Public Health & Sanitation and niece of the first President
4. They also own 29, 000 acres in Kahawa Sukari along the Nairobi Thika highway
5. 10, 000 acre Gichea Farm in Gatundu
6. A 5, 000 acre tract of land in Thika
7. 9,000 acres in Kasarani
8. 5, 000-acre Muthaita Farm.
9. The Brookside Farm, Green Lee Estate, Njagu Farm all in Juja (size unknown)
10. A quarry in Dandora in Nairobi
11. A 10, 000-acre ranch in Naivasha
12. A 52,000-acre farm in Nakuru
13. A 20,000-acre one, also known as Gichea Farm, in Bahati under Kenyatta’s daughter, Margaret
14. A 10, 000 acre farm in Rumuruti owned by former first lady Mama Ngina
15. A 40,000 acre farm in Endebes, Rift Valley Province
16. A 1,000-acre farm in Dagoretti owned by Kenyatta’s first wife Wahu



MZEE JOMMO KENYATTA ALIKUWA ANATAKA UHURU WA familia yake sio wa Nchi.

Kudadeki zake
 
Ndio maana vita na kuuana kila wakati sababu ya mambo haya. Na huenda ekari zako hizo zikapunguzwa. Kila raia anahaki ya kuishi na kumilki ardhi. Siyo kutumia cheo kuwanyonya wengine. Cheo ni dhamana.
Na hakuna raia aliekatazwa kutafuta ekari za mashamba.
 
Kenge tena, hapa tunaongelea issue ya uhuru kulaumu nchi zingine badala ya kuongelea nchi yake itapiga vipi hatua.
Humuelewi Uhuru utanielewa mimi?
Amesema kwa kuwausia wengine pamoja na nafsi yake kuwa marais wasiwachukie matajiri kwani mchango wao kwenye kuleta maendeleo kwa wananchi na nchi kwa ujumla ni mkubwa na muhimu sana!

Naamini hutajitoa akili tena.
 
UONGO Huu hao matajiri wengi wa kiafrika wametajirika kwa Njia zisozukuwa halali na zenye kukandamiza Jamii mtu anaua albino, Anamfanya nduguye awe kichaa, Mtu Anaua mtu au kuvamia Sehemu kwa vile alikuwa na pesa ya kufund majambazi na Kununua silaha, Tajiri halipi Kodi kwa kutegemea kulamba viatu vya Viongozi asamehewe kodi na kubebwa bebwa.
hayo ni majungu. na wewe si ukafanye hivyo kama unaona ukifanya hivo unakuwa tajiri. Acheni vivu wa kike. Huwezi kufanya maisha ya maskini kuwa nafuu kwa kuwashusha chini waliokuwa juu.
 
Basi aache kutoa mifano kuwa nchi zingine za kiafrica zinakandamiza matajiri. Aanze na mambo ya nchi yake. Kwanini yeye anakandamiza raia kwa kuchukua ardhi kubwa kiasi hicho kwa kutumia utajiri wake? Anatakiwa apambane na hali yake.
hajachukua Ardhi,kaikuta tayari inamilikiwa na familia,na kama kuna aliyoongeza ni kwa hela zake hata kama zina background chafu!!
 
Humuelewi Uhuru utanielewa mimi?
Amesema kwa kuwausia wengine pamoja na nafsi yake kuwa marais wasiwachukie matajiri kwani mchango wao kwenye kuleta maendeleo kwa wananchi na nchi kwa ujumla ni mkubwa na muhimu sana!

Naamini hutajitoa akili tena.
Sasa wewe na uhuru nani mwenye akili zaidi? Kwani uhuru siku hizi amekuwa msemaji wa nchi za Africa?
 
Bila shaka unawashangaa wanaodai Lowasa ni fisadi!

Anyway, unapata wapi authority ya kumtuhumu Kenyatta kuwa mkwepa kodi ilhali hajawahi kuthibitishwa na mahakama juu ya ukwepaji huo?
Umenichanganya na aliyezungumzia ukwepaji kodi, hata yeye aliyezungumzia ukwepaji kodi hakumlenga Kenyatta, Kenyatta anashutumiwa kwa kulimbikiza utajiri uliotokana na kupora ardhi kubwa ya wanyonge uliofanywa na baba yake
 
Hii ndio faida ya kuzaliwa na baba mwenye akili, me mwenyewe namlaumu mzee kwa vi acre 300 pale bagamoyo kwa nini hakusomba zaidi. Cha mjinga uliwa na mwelevu.
Hapa kweli unathibitisha kwamba baba yako hakuwa na akili na wewe umerithi kutokuwa na akili
 
Back
Top Bottom