Uhuru Kenyatta: Serikali nyingi Afrika zinajiendesha kwa kukomoa matajiri

Unafikiri rais akiwa bepari atasema nini bila ya kuwatetea washirika wenzake?

Mind you Kenyans kazi mnayo kwa uyu rais bepari. Na mwezi ujapita tokea aapishwe ameshatangaza atayemrithi ili aendelee kulindwa yeye na mali zake.
 
Mkuu hakuna mtu anayepinga utajiri halali kama wa Mohamed Enterprises au Bakhressa, si utakumbuka Magufuli alivyomsaidia Bakhressa kuunganishiwa umeme katika viwanda vyake baada ya kuambiwa na TANESCO kwamba kiasi cha umeme anachohitaji ni kikubwa sana haitowezekana?, pia alimuambia kwamba ajiingize kwenye kilimo cha miwa na atampa shamba bure la ukubwa wowote anaotaka?, sasa huu utajiri wa Kenyatta family wa kuchukua ardhi ya wananchi kwa nguvu na hadi leo baadhi ya ardhi imekaa bila kuendelezwa ndiko kusikofaa
Alienda kumuunganishia umeme baada ya kuona hali tete,matajili wameanza kufunga biadhara.kaona ngoja angalau ni mbembeleza.na hatahivyo bado wafanyabiashara wengi wakubwa wanafanya kwa wasiwasi,mguu ndani mguu nje.

Tangu zile kauli za matajili wataishi kama mashetani,kinyume chake walalahoi ndio wanaishi motoni kabla ya hata kufa.
 
Ameyasema hayo katika sherehe za uhure wa kenya leo,Nukuu

''Serikali nyingi Africa zinajiendesha kwa kukomoa matajiri ,wanaamini unaweza kumuimarisha mnyonge kwa kumudhorotesha mwenye nguvu...''

Nini maoni yako juu ya serikali yetu na kauli hii.
Angemalizia tu "kama serikali ya Magufuli" ingependeza zaidi.
 
Alienda kumuunganishia umeme baada ya kuona hali tete,matajili wameanza kufunga biadhara.kaona ngoja angalau ni mbembeleza.na hatahivyo bado wafanyabiashara wengi wakubwa wanafanya kwa wasiwasi,mguu ndani mguu nje.

Tangu zile kauli za matajili wataishi kama mashetani,kinyume chake walalahoi ndio wanaishi motoni kabla ya hata kufa.
Thibitisha unayozungumza, hapa sio kijiwe cha kahawa
 
Unatoka nje ya mada, hadi sasa hakuna mahali ambapo amekamatwa au kushutumiwa au kuonekana kama mali zake sio za halali, kwa hiyo itakapogundulika sio halali utakuwa na haki ya kumtuhumu, lakini kwasasa tunamchukulia kwamba yupo innocent hadi sheria itakavyotamka vyenginevyo, hiyo ndiyo kanuni ya sheria za nchi zetu, sio kanuni yangu, sasa kama wewe unaanza kuchukulia kwamba any body is guilty until proved otherwise, hiyo utajua wewe na nafsi yako.
unamfahamu Mo vizuri wewe??? amyway sio kosa lako........
 
ok kibiashara sio msafi kihivyo........ hana tofaut sn na kina lowassa,jk, et al
Acha maneno ya kijiweni wewe, hao wote uliowataja unaushaidi gani na uchafu wao zaidi ya kusikia maneno tu mitaani kwamba ni wachafu?, lete ushaidi wa uchafu wa kila mmoja kati ya hao uliotaja, wote tumesikia wakisemwa lakini hakuna hata mmoja aliyethibitisha kama hayo wanayosemwa juu yao ni kweli
 
jamani kenya na Tanzania ni tofauti ki katiba.Kenya ardhi ni mali ya mtu ilihali huku Tz ardhi ni mali ya serikali.
ukiona hivyo ujue nchi ya Kenya ilishauzwa kwa wenye nazo kama Kenyatta, Lord Dalmeira (sijui kama nimepatia jina)
 
Acha maneno ya kijiweni wewe, hao wote uliowataja unaushaidi gani na uchafu wao zaidi ya kusikia maneno tu mitaani kwamba ni wachafu?, lete ushaidi wa uchafu wa kila mmoja kati ya hao uliotaja, wote tumesikia wakisemwa lakini hakuna hata mmoja aliyethibitisha kama hayo wanayosemwa juu yao ni kweli
ok km tunakubaliana kwamba ni kauli za vijiweni then safi, tuishie hapa!
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom