Uhuru Kenyatta aonesha ustaarabu wa hali ya juu

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,891
2,000
Hakyamungu ingekuwa hapa sasa hivi yule mbunge angekuwa sijui ana hali gani maskini ya Mungu na nyumba yake ingesachiwa yote hadi vikombe
Baada ya kutukanwa juzi bungeni na yule mbunge ambaye hawezi kushtakiwa kwa kuwa aliongelea bungeni(kwa wenzetu kenya bunge linaheshimiwa ina maana hata askari hawawezi ingia kuwapiga tanganyika jeki wabunge)Rais kenyata kamtumia kadi ya krismasi aliyosaini yeye na mkewe magreth.
Hatua imemuongezea point sana Kenyata na kuwadharaulisha Cord na huyo mwana mama
Inanikumbusha jinsi Kikwete alivyowapuuza wale jamaa wa msikiti fulani pale city centre waliomsomea albadir ili afe,aliongea lakini wala hakuwatumia jeshi la polisi wakamatwe.

President Kenyatta responds to Millie’s insults with a Xmas Card
Yesterday 5:42 pmThere has been no reaction from President Kenyatta himself or State House over Millie’s remarks.
NAIROBI, Kenya Dec 21 – President Uhuru Kenyatta has sent a Christmas Card to Mbita MP Millie Odhiambo even a day after she insulted him publicly within Parliament buildings.

The card seen by Capital News beat is also wishing Millie a Happy New Year, coming just a day after she hurled insults at the Head of State.

Remarks by the Opposition MP have drawn sharp reactions from a section of Kenyans and leaders–including MP Moses Kuria who posted scathing comments against the law maker.There has been no reaction from President Kenyatta himself or State House over Millie’s remarks.
 
Graph

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
2,748
2,000
Umejua kwa nini tunapigwa magepu na hawa jamaa? hawana papara za kulipa kisasi, Uhuru ndiye alifaa kua na msemo "hapa kazi tu", sio hawa wanaoita watoto wa watu "vilaza" au "nyie ndio machizi tulionao".

Tusi kitu gani, halipunguzi chochote zaidi ya kelele tu, hata first lady US anaitwa Sokwe na anapotezea watu wanamuheshimu, sema umemuota mtukufu uone kama hujalala ndani miezi 6, wabongo hua tunajidai kua tuna haki, tuko focused, ila ukweli moyoni tunaujua wote, tunaishi kama karne ya 19.
 
chikundi

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
8,245
2,000
Hakyamungu ingekuwa hapa sasa hivi yule mbunge angekuwa sijui ana hali gani maskini ya Mungu na nyumba yake ingesachiwa yote hadi vikombe
Baada ya kutukanwa juzi bungeni na yule mbunge ambaye hawezi kushtakiwa kwa kuwa aliongelea bungeni(kwa wenzetu kenya bunge linaheshimiwa ina maana hata askari hawawezi ingia kuwapiga tanganyika jeki wabunge)Rais kenyata kamtumia kadi ya krismasi aliyosaini yeye na mkewe magreth.
Hatua imemuongezea point sana Kenyata na kuwadharaulisha Cord na huyo mwana mama
Inanikumbusha jinsi Kikwete alivyowapuuza wale jamaa wa msikiti fulani pale city centre waliomsomea albadir ili afe,aliongea lakini wala hakuwatumia jeshi la polisi wakamatwe.

President Kenyatta responds to Millie’s insults with a Xmas Card
Yesterday 5:42 pmThere has been no reaction from President Kenyatta himself or State House over Millie’s remarks.
NAIROBI, Kenya Dec 21 – President Uhuru Kenyatta has sent a Christmas Card to Mbita MP Millie Odhiambo even a day after she insulted him publicly within Parliament buildings.

The card seen by Capital News beat is also wishing Millie a Happy New Year, coming just a day after she hurled insults at the Head of State.

Remarks by the Opposition MP have drawn sharp reactions from a section of Kenyans and leaders–including MP Moses Kuria who posted scathing comments against the law maker.There has been no reaction from President Kenyatta himself or State House over Millie’s remarks.
Ni mstaarabu kwa sababu hakumkamata mama millie. Je alistahili kumkamata na kumshitaki?
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
21,594

Kwa hiyo nini maoni kuhusu matusi dhidi ya binadamu wengine? Au hiyo ndiyo demokrasia kwako? Je vp anayetukanwa yeye hana haki ya kidemokrasia?
 
Uso wa nyoka

JF-Expert Member
Mar 17, 2014
4,798
2,000
Democracy sio one size fits all affair. Kama huamini, peleka upuuzi kama huo Saudi Arabia,tena uwe mwananchi wa kawaida uitukane monarch uone. Au fanya hivyo Rwanda. Uhuru ni Rais wa Kenya na si model kwa nchi zote, hayo ni maamuzi yake. Ukitaka kujua uchungu wa tusi na umuhimu wa heshima na adabu, atukanwe baba yako au Mama aliekuzaa na mtu wa barabarani . Hapo ndipo utakapoelewa uzito wa neno kuvunjiwa heshima.
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
9,485

Mkifikia hatua ya kulinganisha Tanzania na KSA kwenye mambo ya demokrasia basi ujue hali ni mbaya.

Kama mnaona KSA ndiyo wa kujilinganisha nao anzeni kukata vichwa wauza unga, kateni miguu wezi na wanawake wapigwe marufuku kuendesha magari. Pia msisaha wanawake wanapotoka nje wawe na ndugu zao wa damu. Poor Wadanganyika
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom