Uhuru Kenyatta aonesha ustaarabu wa hali ya juu

Kwani Saudi Arabia na Rwanda wana demokrasia ?
Wana nini? Saudia wana Monarchy iliyotoholewa kuendana na misingi ya kiislamu na Demokrasia, Rwanda ni nchi ya Kidemokrasia kamili inayofuata misingi yote inayounda Demokrasia. Ndio maana nilisema, Democracy sio one size fits all affair!
 
Hongera Rais wa watu kenya, unaeamini kuwa tumeumbwa tofauti. Na hivyo kuamini katika kufuvumiliana. Huo ndio uanaume. Hongera sana and we wish you a nice Xmas.
 
What Millie said was wrong, but l guess we are going to see more sycophancy, hate and bigotry over the next 8 months. Kenyan politics is dirty. Watz stay tunned. You will be entertained.
 
Back
Top Bottom