Uhuru Kenyatta anamuunga mkono Edward Lowassa

Lazima warandane maana Magufuri yeye huiva na Odinga.
Pia familia ya Uhuru wako na vitega uchumi vyao kule Arusha so namna ya kuvipata lazima mwenyeji kama EL alishirikishwa maana ndo aluwatani wa mji.
 
falcon mombasa Kwa kweli mtu yeyote asiye na Lowassa atapoteza, upepo ninaouona Tanzania ni kama ule ulitendeka kwetu tulipoangusha KANU, yaani hapa labda CCM wawe na mikakati ya wizi wa kura tena kwa mamilioni lakini sioni wakitoka. Nchi imetokota ikaiva, naona Watanzania hata huku Kenya wameibuka ghafla na wana matumaini sana, yaani CCM wakirudi kwenye uongozi, Wabongo wengi watavunjika mioyo.
 
Last edited by a moderator:
Uhuru Kenyatta ndio nani?
Unamsema huyu mtuhumiwa wa the hegue?
Kenyata jambaz sugu kama lowasa.
 
falcon mombasa Kwa kweli mtu yeyote asiye na Lowassa atapoteza, upepo ninaouona Tanzania ni kama ule ulitendeka kwetu tulipoangusha KANU, yaani hapa labda CCM wawe na mikakati ya wizi wa kura tena kwa mamilioni lakini sioni wakitoka. Nchi imetokota ikaiva, naona Watanzania hata huku Kenya wameibuka ghafla na wana matumaini sana, yaani CCM wakirudi kwenye uongozi, Wabongo wengi watavunjika mioyo.
Duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom