Uhuru katika Mahusiano?

Well said bi dada,, kuna sehemu humu nilishawahi kuandika kua watu waki master issue ya ku balance shobo basi wataishi kwa amani na furaha kubwa sana.. Anyway habari ya mwaka mpya.
Sure mkuu
Inauma mno kupenda usipopendwa ila ndiyo hakuna namna zaidi ya kujiengua tu

Habari ya mwaka mpya nzuri tu sijui kwako
Ila dah nimekumbuka leo nimekutana na comment yako mahali nimecheka
 
Gullible and naive

Pole sana lakini unaambiwa you haven't lived until you love somebody
 
Sure mkuu
Inauma mno kupenda usipopendwa ila ndiyo hakuna namna zaidi ya kujiengua tu

Habari ya mwaka mpya nzuri tu sijui kwako
Ila dah nimekumbuka leo nimekutana na comment yako mahali nimecheka
Mwaka..Mpya ndo huu Mkuu.. Natumani Mambo mazuri yaja.
 
Huyu jamaa ana viashiria vya kuwa mume wa mtu by 85% !!! Je, umejiridhisha jamaa sio mume wa mtu?
 
Huyu jamaa ana viashiria vya kuwa mume wa mtu by 85% !!! Je, umejiridhisha jamaa sio mume wa mtu?
Sijui... kwakweli.. according to his actions and words he assured me this wasn't the case.Maybe it was a lie... who knows
 
Hahahah jamaa yuko vizuri sana 😂😂😂 hadi anaburudisha. Hivi ndio wanawake janja janja mnavyotakiwa muendeshwe! Maana wengine ulikuwa unawaona mazoba ila kwa huyu baharia hutachomoka hapo. Sijui kwanini huwa mnapendaga abusers nyie watu ila polite guys kwenu ni mazoba.
 
Hahahah jamaa yuko vizuri sana [emoji23][emoji23][emoji23] hadi anaburudisha. Hivi ndio wanawake janja janja mnavyotakiwa muendeshwe! Maana wengine ulikuwa unawaona mazoba.
Sawa....
 
Labda nikuulize jambo moja very critical. Huwa maongezi yako yanatawaliwa na nini? Yani what do you talk about most of the times ukimpigia simu?
Mi nishaelezea yoote hapo juu... Asubuhu hi sijisikii Tena kuongelea hili
 
Dah kwa haya majibu hamna ushauri zaidi ya wewe kuchukua time tu. Jikate tu hapo hamna uhusiano! Wewe ndio umependa na unajali haswa ila mwenzio hayupo on the same page.
 
Dah kwa haya majibu hamna ushauri zaidi ya wewe kuchukua time tu. Jikate tu hapo hamna uhusiano! Wewe ndio umependa na unajali haswa ila mwenzio hayupo on the same page.
I guess... It's my fault to love back where I thought I was loved..
Nimemsamehe tu.... Mapenzi hayalazimishwi.... Sina hata kinyongo.. japo itanichukua muda maumivu kuisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…