Uhuru katika Mahusiano?



Do you sleep with him?
 
Watu wanasaka kidude, they don't kiasi utakavyoumia kwa kupotezewa muda
It's not right kabisa..KUCHEZA na hisia za mtu...Yaani it's very wrong.

But ndo wanasemaga kwakuwa Wewe huli Simba haimaanishi Simba sikule Wewe.

Being a good person and giving out postive energy to the world doesn't mean the world will do the same.

MINASEMA TU

HASBIALLAHU WANEEMAL WAKEEL.
 
Inawezekana coz PEOPLE lie...but tatizo I believed him...What a shame, But dooh Alihakikisha namuamini AKIWA NA NIA KABISA YA KUNIUMIZA....

Aiseeee Hata kushangaa nashindwa
 
Mtu kutaka Uhuru katika Mahusiano maana Yake Nini?.
Kumpigia mpnz wako simu 3 times in a span of 5 hours nazo hajapokea Ni kumnyima Uhuru?..

Kuwa katika Mahusiano na kuishi Kama haupo katika Mahusiano ndo Uhuru?

Kwakweli nishaurini sielewi
Kwanza unakubali vipi kuwa katika mahusiano ?
 
Pole sana Dada.
Kimbia hapo yatakukuta mazito.
We men kama hatumpendi au tumemchoka mtuu ndo gia zetu hizo.
 
Yaaani NIMEUMIA SIO KIDOGO..niwe tu mkweli...yaani Dharau alonifanyia SIJAAMINI...yaaani It's Saddening kwakweli
Vijana wa siku hizi tatizo ujuaji mwingi, tukiwaambia msiwe katika mahusiano mpaka muolewe hamtaki.

Hivi wale watu wanao uza matikiti na kuyatoboa kipande kwa ajili ya kuonja, hivi mteja akionja akaona halijamridhisha hasara huwa kwa muuzaji au tikiti lenyewe ?
 
Upo sahihi sana na ume play part kubwa kwa nafasi yako nadhani hio inatosha mengine acha ya flow yenyewe .

Huenda labda sijakuelewa kama nimekuelewa vibaya ruhusa kunikosoa ila
Unaposema "kuoneana huruma" katika mahusiano hii kitu naweza sema haipo au kama ipo basi hai work kabisa

Know your worth haijalishi huyu mwanaume wako unampenda kiasi gani.. Ukishaanza mambo ya kuonewa huruma katika mahusiano basi bado hujaijua your worth. (Wewe ni wathamani sana haijalishi kama unaempenda anakusumbua au vipi cz mbali na yeye I'm sure hivo ulivyo kuna watu unawanyima usingizi na pengine wanapiga hadi magoti kumuomba Mungu ili tuwakupate.

Wazungu wanasema

"Life is all about adjustment between your feelings and reality, at any stage, time or moment you have to quit your feelings and accept the reality"

Wewe ndio unajua hali halisi kua visa anavyokufanyia huyo mtu wako ni kweli mazingira yanambana au ni kwa sababu hakupendi, kwa sababu there is always a message on how people treat you.
 
Yaaani NIMEUMIA SIO KIDOGO..niwe tu mkweli...yaani Dharau alonifanyia SIJAAMINI...yaaani It's Saddening kwakweli
Pole walimwengu ndiyo walivyo lakin sio wote
Kama hutojali nakuomba pm nikuambie kitu
 
Kwa aloyafanya ...ujumbe Ni hanipendi... Coz huwezi mpenda mtu Ukasema maneno Kama aloyasema..Doooh
 
Aiseeee..SIKUWAI jua people can lie to that extent...GUESS AM GULLIBLE
 
Ila watoto wa kike kweli Mwalimu wenu kipofu, hivi inakuwaje kwanza unakuwa na mahusiano na kijana mjangalia Mpira ?
 
Inawezekana coz PEOPLE lie...but tatizo I believed him...What a shame, But dooh Alihakikisha namuamini AKIWA NA NIA KABISA YA KUNIUMIZA....

Aiseeee Hata kushangaa nashindwa
You thank God and move on.

Sio makosa kwako kumuamini bcoz aliweka mazingira ya wewe kumwamini.La msingi ni kwamba sasahivi umeshamjua ni mtu wa namna gani.
 
Sasa ULITAKA NIFANYAJE....
Ungekuwa karibu yangu ningekupiga bonge la kofi sababu unauliza swali la hovyo.

ULITAKIWA UFANYE KINYUME CHAKE. hivi kuna mtu ushawahi kusikia kafa kisa hayupo kwenye Mahusiano ?

Pili, waoaji tunajulikana, haya mahusiano ya kipuuzi huwa yanaondoa baraka na mwisho wa siku mnapotezeana muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…