Uhuru katika Mahusiano?

Owky
 
Umeandika ukweli, wanaume tukiwa hatumpendi demu simu na sms zake tunaona km usumbufu,inakujaga automatically hiyo. Nishakuwaga na demu akinihitaji namkataa indirectly,inafika stage mimi mwenyewe nikikaa usiku kuwaza niliyomfanyia naona nimemkosea sana ila pakikucha kesho moto uleule.
 
Hata sisi pia usipompenda mtu Simu na sms zake Ni kero... Ila tatizo ALINIAMINISHA Sana kuwa ananipenda... Yaani SANA...kumbe LOOOH it was a lie
 
Ndugu yangu soma ujumbe huu japo mfupi

Huyo mpenz wako anakupenda sana tena sana tu, ila ana wivu uliopitiliza sana tena sana ndio unaopelekea hali hiyo.

Pili misimamo yake sio ya ajab ajab ila tu ni ww kucheza nae kwa akili sana, mtu kama huyo huwa anahitaj kunyenyekewa zaid ukihis hayuko sawa unapaswa kumwomba msamaha hat kama hujafanya jambo lolote

Amini kwamba jamaa anakupenda sana na wala sio kwamba ni dalili za kukuacha au kukuchukia.
NB; tambua kwamba wanaume wengi weny misimamo mikali huwa hawako romantic sana uromantic huja na kupotea ndan ya dk 1

Point yangu ni ANAKUPENDA
 
Hayo Mapenzi ya KUOMBA msamaha... Hujakosea siyawezi...kubembeleza tu bila sababu Siwezi..Mimi pia nahitaji kuoneshwa hayo Mapenzi...Siwezi toa TU bila kupokea.
 
Kitu Kama vile nilishawahi kukuambia nakupenda hukunielewa ona Sasa unahangaika maombi yangu hayo
 
MTEME dunia yenyewe hatuishi milele wakati mwingine unaweza jinyima furaha ya kweli kwa fala mmoja hivi. Mi demu akinipenda huwa namheshimu na napokea simu zake muda wowote ule. Ni dharau kuacha kupokea simu ya mpenzi wako. Hakuna uhuru kwenye mapenzi ndio maana mnatiana.
 
Usiwe na haraka kwenye maamuzi kuwa na uvumilivu maisha hayapo hvo
 
Yaaani...NIMEUMIA SANA ROHONI...
I FEEL HURT TO THE CORE.
NAKUELEWA MNO

Huwa napenda comment zako Ila leo inaonekana kabisa haupo sawa.

Jitulize ufanye maamuzi.

Bahati mbaya watu wa Aina ya mpenzio wakigundua unataka kujitoa kwao wanakupumbaza na mahaba unasahau kesho wanarudia Yale Yale.

Inahitajika moyo kujitoa.

Mwisho kabisa sikiliza nafsi yako, usikurupuke
 
Hata sisi pia usipompenda mtu Simu na sms zake Ni kero... Ila tatizo ALINIAMINISHA Sana kuwa ananipenda... Yaani SANA...kumbe LOOOH it was a lie
Usijali mkuu,ongeza tu maupendo anaweza kukufikiria vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…